JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Eti Ohh Mimi Super Handsome...Oh mimi ni Model...Nna 6packs sina kitambi mademu wananipenda... Baba kama huna hela basi HUNA NGUVU ZA KIUME! Mwanaume hata awe na Kisukari na Kichumvi Juu jogoo...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Mkiwa kwenye nyuma ya keyboard mnajiona wazuri kiuhalisia sasa nafwaaa
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Et kuoa mke mzuri ni sawa na mkulima kumiliki shamba la miwa karibu na shule ya msingi". Mwenye misemo kama huu atuwekee tutafakari, tucheke wikiend ipite.
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Describe your ex using movie titles... Mi naanza, 'drug me to hell'
1 Reactions
186 Replies
26K Views
Angalia Athari ya Utani:.... Jamaa Alikuwa Amekaa akitazama soda yake Kwa Zaidi ya DAKIKA 20. Akaja Mtani Wake Mmoja Akaichukua soda, Akanywa yote! Jamaa Akaanza Kulia. Mtani Akamwambia...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Naomba tujadiliane kwa hili tunajua mapenzi ni pesa zari la pro j halipo siku hizi maana mimi ni mwanamme wa kisukuma kabila letu ndo wanasema si ndo tunaongoza vipi makabila mengine sio muhimu...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Hahahah Huyu Jamaa huwa ananiacha hoi sana. sijui aliendaga wapi le mbebez pacha wa le mutuz! dr.holygrail rweyemamu kutoka dubai ya bongo huko bukoba state!
0 Reactions
5 Replies
959 Views
Je, umewahi kukumbana na Girlfriend mwenye maswali ya dizaini hii?? Hawa neno kujiamini huwa ni msamiati. Usiombe kukumbana nae, lakini siku ukimpata ngoja nikupe hint ya jinsi ya kumjibu: ''Mbona...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Kama upo single kwa muda mrefu alafu hujiulizi pole yako huenda ule ubavu wakushoto waliutoa wakaenda kupikia supu [emoji23]
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu heshma zenu!! Wakuu naombeni ushauri wenu!! Jana wakati niko na shemeji yenu/wifi yenu tulienda kufanya shoping supermarket! Sasa wakati tuko mle ndani tukakutana na werembo wengine...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Sasa hivi inaitwa 24 Live another day! Kama mnakumbuka mwisho wa season ya 8, alikimbia marekani kukwepa mashtaka, na akakimbilia Uingereza. Sasa inaendelea huku akitafutwa na serikali za marekani...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Tuangalie hii moja.
1 Reactions
0 Replies
475 Views
1.Analia mfulululizo kama kinanda cha parokia bila kubadili key wala Tyun. 2.anaaongea english nyingi za kwenye move za series 3.Anarudia maneno yale yale kuanzia dakika ya kwanza hadi ya 90 kama...
2 Reactions
21 Replies
38K Views
Usione Wanaume wanakopa mamikopo makubwa wanaishia kununua magari ukadhani wanapenda... Hali imekuwa tete siku hizi..Ukiwa na Gari una asilimia 75 za kumpata demu.. Umeenda Samaki Samaki umemkuta...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Wadada wa mjini unampa lift anakaa siti ya mbele anafunga na mkanda dereva unajiuliza dah huyu dada anajua sheria za barabarani, kumbe anataka kujipiga selfie akapost instagram tena utakuta...
6 Reactions
49 Replies
3K Views
Kuna wanawake eti ukimuudhi anaacha kukupa adhabu zoooteeee eti anabana Uvungu...Anahisi ndo Adhabu ya kukukomesha...VERY WRONG PUNISHMENT! Mwanaume na Sex ni kama vitz na Petrol, Nikikosa...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
[emoji126] nataka nitoke kweny gazeti niuze sura...waseme nimelala na fulan..[emoji126] [emoji126] [emoji126] jokes[emoji12]
0 Reactions
52 Replies
5K Views
Ninaposema Tanga, simaanishi Korogwe au Handeni, ninamaanisha Tanga haswaaa Tanga walipo majini watu wa kike, kiukweli Tanga imebarikiwa sana, kama unabisha we bisha tu. Tukianza na lafudhi...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Back
Top Bottom