Ebhana Mambo Vip Wana JF? Shwariiiiii???? Naomba Kuuliza Speed Ya Internet Ya HALOTEL , AIRTEL , TIGO & VODA Ipi Iko Poa Zaidi Kwenye Kuperuzi??? Pia Ni Kweli 4G Ya Tigo Iko Poa Speed Yake Au...
....
Ilikuwa wakati wa mchana ambapo mume alirejea nyumbani akiwa na habari mbaya.
MUME: Mpenzi, nimepigiwa simu: Mama hajisikii vizuri. Tunaweza kwenda kumnunulia baadhi ya mahitaji kwa ajili ya...
Habari zenu!
Kwa wale wa kuja, hasa wanaume wa mikoani, nawasihi mpige picha ktk maeneo haya ya Dar kama ukumbusho mtakaporudi bushi, endapo hamta nogewa na kusahau kwenu.
Mimi si mzaramo, ila...
Habari wana jamvi?
Mie ni mdau wa jf mnoo,kuna jambo nimelinote kuhusu huu mtandao ukilinganisha na other social networks like whatsapp,Imo,viber etc;
Unahisi wewe tangu uweke Avatar yako ni lini...
Mimi naitwa cinddy, nilikua naomba mnisaidie kwa yoyote atakaeguswa na bwana moyo wa kujitolea. Nimefiwa na baba yangu mlezi aliekua ananisomesha chuo. Niko mwaka wa mwisho chuo nasomea kozi ya...
Sharti la kwanza: tumekubaliana asivae zile nguo nyeusi zinazofunika usoni hadi miguuni kwakuwa yeye ni mzuri, hapo amekubali.
Sharti la pili: nikamwambia asiwe ananiombaomba pesa bali afanye...
*Nakumbuka pale O-level school...mmetoka paper la mathematics magwiji wanabishana kama jibu lilikua 3 ama -3 muda huo wewe umepata 41,987,676
*hapo ndio unajua kilema sio tu yule aliyekaa kwa...
Jamaa wawili walikuwa wameajiriwa kwa Bosi mmoja, baada ya muda wakagundua kuwa Bosi wao alikuwa na tabia ya kuondoka saa 7 mchana na harudi tena mpaka kesho yake. Siku moja wakakubaliana nao...
Binafsi naona jf ni zaidi ya habari kuna burudani sana kutokana na nyuzi za watu mimi uzi ulionifurhisha. Ni wa MSAGA SUMU uliokuwa unasema Wastara kuolewa tena na mbunge wa UKAWA hapa haswa...
Mchukue msichana umpeleke gheto halafu MPIME kwa kumpa jiko la mkaa lililolowana awashe moto mpaka manailoni yote yaishe huku akichambua maharage magumu ayachemshe yaive apike ugali mle mshibe...
ama gazeti au redio au luninga unadhani ni member gani labda ndiyo angekuwa mfano wa gazeti pendwa au redio pendwa au luninga humu? na labda unadhani pia ni member gani ambaye angedoda humu kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.