NDOA inafungwa KANISANI Mchungaji akauliza-
Yeyote mwenye Pingamizi La Ndoa hii kufungwa aje Mbele, KIBABU kikasimama na kwenda Mbele,
Bi harusi akaanguka na akazimia ghafla!
Mchungaji- Tuambie...
Habari za kwenu wana jamii..
Leo nilikuwa safarini kutoka Dar kwenda Arusha..Nilipofika Mombo nikakumbuka sana zile hotel nilipokuwa nakula miaka ile nasoma shule za Moshi.Binafsi nimekumbuka sana...
Musa came back from school singing and dancing. His father was wondering why he was so happy and decided to ask him.
*DAD:* ```My son, I have never seen you in this mood in a long while. Any good...
Juz kat npo kipande cha super market na mtoto mkareee tunanunua bidhaa mara ghafla ushuz ukanibana nikaona apa nitembee kwa spid ili nmuache demu nyuma nipate chance ya kuachia vitu vyangu sasa...
Ni haki ya Kila mtu kuuza mali yake mwenyewe kwani hakuna mwenye mlitafuta nae,
huruhusiwi kumuuza mtu.
mwache ajiuze.
Vipimo vitafanyika kwa uko mzima kuepusha genesis za maradhi ya kurithi na...
Kuwekwa kama DP ya Whatsapp hakumaanishi
wewe ndo Mfalme wake..WALAAA
USIJIDANGANYE! Kuwekwa Facebook na
kuandikiwa Caption ambayo inakutoa machozi
ukiisoma na kumuonea donge aliyewekwa,"My Bae
is...
John Sanga alikuwa mchoraji mzuri sana wa picha...siku moja akachora picha ya noti 10,000 kwenye sakafu ya darasa!...
Mwalimu alipoingia darasani ghafla akajikwaa na kupasuka pua alipokuwa...
Hivii, hili neno "KAA VIZURI" kwa mwanamke lina maana gani? Wakati wa mchana Mwanamke akiwa nje ukimwambia "KAA VIZURI" anabana miguu, Lakini wakati wa usiku akiwa kitandani ukimwambia "KAA...
habari zenu humu ndani...wikend hii nategemea kuwepo rock city...sasa jamani ajitokeze mrembo wa jf mmoja awe mwenyeji wangu kwa kunionyesha mitaa ya mwanza na burudani zake.
Ukitaka kujua rangirangi halisi za Bi Harusi
kitabia,hata kama amekuwa akipritendi na kuongea
kama Shemasi wa Parokia ya Mabibo Farasi we
angalia ule muda ambao MC amewaita "MARAFIKI
WA BI HARUSI"...
Wakuu poleni na harakati!!
Nimeulizwa swali ba dogo nikashindwa kujibu!!
Hivi wakuu binadamu hukua mda gani kwa sababu mi juzi kuna kamba ya kuanikia nguo nilikuwa siifikii sasa juzi nimeenda...
Nimepitia threads mbali mbali za vijana wa mikoani(vijijini) wakijinasibu kwa kula vyakula vigumu, eti vinatia nguvu (!?) ikiwemo za kiume huku wakitulalamikia eti wanaume wa Dar hatuna...
Nakumbuka kipindi najifunza kutengeneza magari baada kumaliza elimu ya msingi wakati nasubiri matokeo nilienda kwa uncle yangu mjini sasa wakati uncle anend zake gereji sikubakaniambia ucle twende...
Chezea Mapenzi Ya Mbali Wewe..
Wewe Unaish Dar Alafu Baby yuko Sumbawanga
kikazi.Hamjaonana Miezi 5 Kutokana Na Ubize wenu
Na Majukum..
Siku Mnaonana Unamuuliza Miezi Yote "Hii Ivi Baby
Ujani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.