_*WANAWAKE Bana NI BALAA TUPU WAKIKUTANA SALON..*_
*ONA HAWA WANATAMBIANA MAJINA YA MABWANA ZAO..*
*Wa 1: Mi wangu ni SOSPETER, nikipenda namwita SOS au PETER!*
*Wa 2: Mi wangu EMMANUEL...
*Nimeibua papper hii mahali fulani. Vipanga wa mahesabu tusaidie kuujua ukweli*
``` MATHEMATICS EXAM PAPER ```
_Time: 2Hrs 30MINS
INSTRUCTIONS: ATTEMPT ALL QUESTIONS.
ALL QUESTIONS CARRY EQUAL...
Supasta alipopata mkwanja akaamua kuhamia mitaa ya watu wenye pesa akiwa na mke na mwanae. Siku moja mwanae alipokuwa anacheza na manati akavunja kioo cha nyumba ya jirani. Supastar na mkewe...
*Eti Leo nmemtext X wangu Hi....akaUpdate Her Status (Am Happy without you) alijua cjui nataka nn kumbe nlitaka nimwambie nmekutana na babaAke Mjini kavaa Koti langu*
[emoji23]
Naomba kama Kuna mtu mwenye huu wimbo ili niwe na sikiliza taratibu maana sijapata hela ya field na sina kitu na nina madeni kibao naomba mnitumie wimbo wa ccm mbele kwa mbele...
Kuna Madem ni shidaaa Msione wanasali makanisani
kwa Kulia hadi makamasi mkajua wanaombea Nchi
yetu isiingie Vitani,au wanaombea Mayatima,Kuna
Madem wanalia na
kulia na Mengi,Wengine wanaomba...
Wewe ni mke wa mme mmoja tu,ingawa mpaka sasa
umepitia mikono ya wanaume sabini,kila mmoja
amepiga kinanda kwa style yake,wengine wamepiga
flati wee,ukawavumilia lakini wakavurunda,uka
watimua...
Kuna kabinti tulikua tunachat nacho kwenye mitandao ya kijamii kama friend ikaja ikatokea siku moja nikiwa mikoani kwao tukaonana stori za apa na pale mwisho akaondoka kiukweli nilikaona kadogo...
"Urefu wa kutoka Dar mpaka Mwanza, ni sawa sawa na" Urefu kutoka Mwanza mpaka Dar ". Lakini Urefu wa kutoka" Ijumaa mpaka Jumatatu" ni mfupi kuliko Urefu wa kutoka "Jumatatu mpaka Ijumaa".
Sasa...
STRESS NI NINI..?
1. Je stress ni pale unapompa msichana lift halafu akazimia ndani ya gari yako na humjui wala hujui kwao. Ulimkuta tu njiani ukamsaidia.!
2. Au stress ni pale unapoamua...
mademu wa sikuhizi huwezi kusikia eti ''Baby nna
mimba yako'', hawapatagi mimba hawa hata ule rosti
miaka 8, ukimwaga ugali wanamwaga
mboga...wanaopata mimba hawa ujue wamekuja
mjini na mbio za...
Habari zenu wanajamii forum
Ngoja na mm leo niombe ushauri.Kuna binti mmoja nipo naye kwenye mahusiano kuanzia 2013 yeye yupo Dar na mm nipo mkoa moja kaskazini mwa Tanzania.Sasa tatizo langu huyu...
. Hivi imekaaje umeibiwa simu bar baada ya kuwa umezidiwa na kiraji na kusinzia, ila ulienda na kasichana ambacho hukafahamu vizuri, mashuhuda wanasema baada ya kuwa kamekuamsha kakasepa na simu...
Sisi wana-ukawa tunajiuliza maswali mengi sana juu ya kuadimika mtani wetu wa jadi maarufu kama Lizaboni hii sasa ni siku ya nne hajatia mguu hapa jamvini, kama kuna mtu ana habari zake...
Tukumbushane Mara ya kwanza kura kwa kisu na uma ilikuwaje, Mimi nilibahatika kushiriki conference nyingi kubwa Mara zote nikawa nakula kisu naweka kushoto uma kulia basi nikazoeahvyo mwaka huu...
Nimekoma mbona ushabiki mwingine mtu unaeza poteza uhai wako hivihivi. Kuna siku geita kulikua na mashindano ya mpira kati ya geita A na geita B walikua wanachezea pale katoro! Sa mi kujifanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.