JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nipo hapa kwenye harusi ya rafiki angu kumpa kampani. Classmates tumechukua meza nzima. Hawa jamaa wanapeleka pombe aibu. Na hakuna aliefikisha 30. Ila toka waingie hadi sasa kila mmoja ameshusha...
3 Reactions
61 Replies
8K Views
Furaha ya EX wako aliyekuumiza makusudi ni kukuona UMEUMIA...UNALIA...UMEKATA TAMAA...HUNA FURAHA...Kwake ni Sherehe kubwa kuliko demu wa Kipare aliyepata Mchumba wa kumuoa Ukitaka kummaliza ni...
6 Reactions
40 Replies
4K Views
Ukiona Umeachana na Mtu halafu Bado unamfuatilia-fuatilia,na mbaya zaidi Ukiona Ameanza Kudate halafu ana Furaha wewe unanuna ujue una dalili za kuwa mchawi,anza mafunzo ya Usangoma kabisa kwa...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Hayahayaaaa!! Mapenzi yamejaa mambo jamani....We unafikiri wamepigana nini? ngumi? walaaaaa!!! wenzako wamepigana mabusu tu....tena siku nyingiiiii! Wala sio jana. nadhani hizi picha utakuwa...
1 Reactions
12 Replies
8K Views
Nawasalimu Nyote
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Sabakher wadau, Kuna mdada alikuwa anafanya usafi kazini kwetu sasa kwa bahati mbaya nikapitiwa na shetani nikamla. Akapata mimba ina miezi miwili sasa tangu wiki ya jana! Ananisumbua sana kwa...
2 Reactions
63 Replies
7K Views
Mlale NA Amani ya bwana malaika wa Bwana akawalinde NA uchawi NA mabaya yote usikuhuu wale watakaotangulia malaika wa Bwana akawapokee salama Gnyt
2 Reactions
1 Replies
832 Views
Eeee !!! mwanangu weee !!! Sijui umeipata hii!!! Kuna kijana mmoja wa chama cha wananchi CUF alimchukua dem geto, Basi dem akaanza kuvua baibui ndan ana kanzu ya CCM akaendelea kuvua kanzu chup...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Lilikuwa dansi la shule mbili za sekondari za bweni, moja ya wadada nyingine ya wakaka. Wadada wawili walikuwa wamekaa peke yao mmoja ana sura mbaya mwingine ana sura nzuri. Yanki mmoja...
8 Reactions
9 Replies
3K Views
Mtakula Nanguruwe,Sungura Mapunda.....endelea
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Sio kila kitu unachoona kwenye Video ni cha kuiga jamani... Kuna Wanawake wanazidisha Ufundi na Machejo Mwishowe Inawatokea Puani... Sijui Ndio Wamefundishwa kitchen party... Eti Madai yao ndio...
23 Reactions
69 Replies
13K Views
Nilimzaba kofi mwanajeshi mmoja akakimbia nikajua ni fake....tafadhali tuungane kutokomeza askari jeshi fake nchini, kivipi??? Kwa kumchapa kibao mwanajeshi yeyote utakayemuona leo, akikimbia basi...
2 Reactions
41 Replies
4K Views
Tarehe 02/09/2016 vichwa vya magazeti vitaandika hivi: =Mwananchi; UKUTA wasambaratika kimya kimya! =Nipashe; Operation UKUTA yaota mbawa! =Mtanzania; Wajenzi wa UKUTA waingia mtini! =Raia Mwema...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Adi mgongoni Vidoleni, jamanii nyie wadadaaa!!!!! Mwili mzima atapanda na kushuka siiiiiii!!!!!! Siiiii shiiiii!!! adi akikishe imeisha, akinambia anakuja tena geto namwachia hili kopo aloliacha...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, Mimi ni kijana miaka 24, elimu yangu degree holder, nime specialize katika administration natafuta marafiki toka nje ya mipaka ya Tanzania, naombeni msaada nitawapata vipi...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Nakumbka mm wakati nipo darasa la nne alikuja mama mkubwa toka nairobi alinambia ukiwa wa kwanza tunaenda wote nairobi,mungu xaidia nkawa wa kwanza kweli darasani kwetu nkamkumbusha ahadi yake...
0 Reactions
1 Replies
835 Views
Habari zenu wakuu, Ninamtafuta Richard Mushi mchaga wa Kibosho. Alisoma degree ya Uchumi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na kuhitimu mwaka 1996. Baadaye nilikutana naye kikazi akiwa Morogoro kwa...
0 Reactions
35 Replies
6K Views
Habari wanajamvi, Ninawashauri ndugu zangu wakati huu wa harakati za siasa kama kuna wezi au majambazi wamevamia mtaani kwenu na umepata upenyo wa kutoa taarifa polisi, piga simu na usema hivi...
3 Reactions
3 Replies
2K Views
Hivi wakuu ndo tuseme tukitaka kuja dar inabidi tutume kwanza maombi au tunakuja tu[emoji12] [emoji12] [emoji12]
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Ndoa ilkuwa inafungwa kanisani; mara mchungaji akauliza waliohudhuria, "Kama kuna yeyote mwenye pingamizi la ndoa hii kufungwa aje mbele". Ghafla babu mmoja akasimama na kwenda mbele. Bibi harusi...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Back
Top Bottom