Nipo hapa kwenye harusi ya rafiki angu kumpa kampani.
Classmates tumechukua meza nzima. Hawa jamaa wanapeleka pombe aibu. Na hakuna aliefikisha 30.
Ila toka waingie hadi sasa kila mmoja ameshusha...
Furaha ya EX wako aliyekuumiza makusudi ni
kukuona UMEUMIA...UNALIA...UMEKATA
TAMAA...HUNA FURAHA...Kwake ni Sherehe kubwa
kuliko demu wa Kipare aliyepata Mchumba wa
kumuoa
Ukitaka kummaliza ni...
Ukiona Umeachana na Mtu halafu Bado unamfuatilia-fuatilia,na mbaya zaidi Ukiona Ameanza Kudate halafu ana Furaha wewe unanuna ujue una dalili za kuwa mchawi,anza mafunzo ya Usangoma kabisa kwa...
Sabakher wadau,
Kuna mdada alikuwa anafanya usafi kazini kwetu sasa kwa bahati mbaya nikapitiwa na shetani nikamla. Akapata mimba ina miezi miwili sasa tangu wiki ya jana! Ananisumbua sana kwa...
Eeee !!! mwanangu weee !!! Sijui umeipata hii!!! Kuna kijana mmoja wa chama cha wananchi CUF alimchukua dem geto, Basi dem akaanza kuvua baibui ndan ana kanzu ya CCM akaendelea kuvua kanzu chup...
Lilikuwa dansi la shule mbili za sekondari za bweni,
moja ya wadada nyingine ya wakaka. Wadada
wawili walikuwa wamekaa peke yao mmoja ana
sura mbaya mwingine ana sura nzuri. Yanki mmoja...
Sio kila kitu unachoona kwenye Video ni cha kuiga
jamani... Kuna Wanawake wanazidisha Ufundi na
Machejo Mwishowe Inawatokea Puani... Sijui Ndio
Wamefundishwa kitchen party...
Eti Madai yao ndio...
Adi mgongoni
Vidoleni, jamanii nyie wadadaaa!!!!!
Mwili mzima atapanda na kushuka siiiiiii!!!!!! Siiiii shiiiii!!!
adi akikishe imeisha,
akinambia anakuja tena geto namwachia hili kopo aloliacha...
Habari zenu wakuu,
Mimi ni kijana miaka 24, elimu yangu degree holder, nime specialize katika administration natafuta marafiki toka nje ya mipaka ya Tanzania, naombeni msaada nitawapata vipi...
Nakumbka mm wakati nipo darasa la nne alikuja mama mkubwa toka nairobi alinambia ukiwa wa kwanza tunaenda wote nairobi,mungu xaidia nkawa wa kwanza kweli darasani kwetu nkamkumbusha ahadi yake...
Habari zenu wakuu,
Ninamtafuta Richard Mushi mchaga wa Kibosho. Alisoma degree ya Uchumi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na kuhitimu mwaka 1996. Baadaye nilikutana naye kikazi akiwa Morogoro kwa...
Habari wanajamvi,
Ninawashauri ndugu zangu wakati huu wa harakati za siasa kama kuna wezi au majambazi wamevamia mtaani kwenu na umepata upenyo wa kutoa taarifa polisi, piga simu na usema hivi...
Ndoa ilkuwa inafungwa kanisani; mara mchungaji akauliza waliohudhuria, "Kama kuna yeyote mwenye pingamizi la ndoa hii kufungwa aje mbele". Ghafla babu mmoja akasimama na kwenda mbele. Bibi harusi...