*jaman naomben ushaur Nina mimba ya miez 6 but Mme wang ananitaka kila ck tufanya mapenzi haiwez kusababisha tatizo kwa mtoto??*_
Ushaur...
_*haiwezi kusababisha tatizo labda kama mtoto ni Wakike...
Hii inakuhusu wewe member wa jf...
Kwanza naomba ukome kua unanitaja kwamba mimi ni mchumba wako aiseeee, na tambua kwamba nimechoshwa na hii hali ya kua ukinitaja kila kukicha na hauishi...
Pombe ndio kila kitu usibishe kama wewe hutumii pombe.
Nimewahi acha pombe nakwambia nilifulia ajabu
Sasa nakunywa pombe a.k.a bia a.k.a lager a.k.a kitwanga nazishika noti hatare iga ukome...
Wadau amani kwenu! Vyumba viwili , chumba na sebule vinapangishwa. Chumba cha kulala kina choo/bafu ndani. Inapendeza zaidi kwa singles au couples wanaoanza maisha ya ndoa. Kodi in 150,000shs kwa...
Raha ya pombe bwana [emoji1] [emoji1] ukisha lewa unakuwa baunsa kweli na unajiamn balaa.
Kuna siku nilipigwa na mabaunsa Wa chid benzi baada ya kucheza jukwaani wakati anatoa shoo. Nilipigwa...
Wakuu wote wa Chit chat na MMU naomba muungane nami kunuwish shemeji yangu kipenzi atoto kila la heri katika siku yake hii ya kuzaliwa.
atoto Mimi na dada yako DEMBA tunakutakia matashi mema...
Ilikuwa ni jioni katika banda la wanywa gongo ...ambapo wateja wengi na makondakta wa daladala pamoja na mateja.....sasa akaingia bwana kapelo..nakusema kwa nguvu KUANZIA KESHO DALADALA ZOTE...
Shalom wakuu!
Swali hili limekuwa likinitatiza sana tangu miaka 2 iliyopita tangu nilipojiunga na JF,
Imekuwa ni kama fashion kwa wanaJF wengi kudeclare elimu zao katika post zao nyingi, ajabu...
Da nimesikia na kutafakari nyimbo za huyu mrembo mbili tu hizi. Kabla sijamfata kumtongoza tayari nishajua kuwa kuna mishikaji alishapita pale na nyimbo akatungiwa.
Ebu sema, Nilishakuwaga na...