Jamaa alikuwa ana tabia ya kukojoa kitandani baadhi ya siku.
Akafikia kuoa. Katika ya siku za mwanzo baada ya harusi, siku moja kama kawaida yake alijikojolea.
Akapiga kelele “Mungu wangu eee”...
kabla nisahau, let me share vile eid yangu ilikua kule mkoani.
hii ni jana after amina kunitumia 'please call me"
sir.Mokoyo akiwa amepiga appetizer ya ugali. hapa anangoja biriani
cousin...
Muwe makini:Kwenye chuo kimoja cha kitabibu prof aliwaingiza wanafunzi kwenye chumba chenye maiti akawaambia sifa ya udaktari ni kutokuwa na kinyaa, pili ni kuwa makini. Akaingiza kidole kwenye...
Mwalimu aliingia darasani akauliza, "Kwanini mapenzi yana nguvu kuliko vita?"
MWANAFUNZI akajibu,"kwasababu CONDOM bei nafuu kuliko Bunduki..." [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]...
RATIBA YA WANAUME WA DAR W/KEND
1.Asubuhi-Chai na soseji moja na yai la kuchemsha
Baada ya chai anaangalia tamthiliya ya kifilipino[emoji2][emoji2][emoji2]
2.Mchana-Chips mayai na mayonaiza na...
Usimfanye mwanamke akalia, chozi la mwanamke
ni la gharama sana. Tone moja tu la chozi lake linatoka na: Kwanza linachanganyika na eye liner ya 45,000,
na mascara ya 63,000 halafu likifika kwenye...
Habari zenu wanajamvi,
Mimi kuna msemo unanikera maana unageneralize "wanaume wa Dar". Alafu mbaya zaidi hadi wanaume wenzetu kutoka mikoani wanatusema.
Kuna wengine ndo kwetu na wa mkoa wakija...
Kuna mambo mawili ukizaliwa na kuishi yatakuhusu
1. Ni ama wewe utazaliwa mwanaume
2. Au wewe utazaliwa mwanamke
Kama wewe utazaliwa mwanamke uko salama,
Lakini kama wewe utazaliwa mwanaume...
Tangu mwishoni mwa wiki iliyopita mchepuko wangu umekua ukidai idd imekaribia hivyo inakuaje? Kila akianzisha mada ya idd mm naingiza mada nyingine, hivyo hivyo hadi Jana alipoomba kuonana na mm...
Nimefanya uchunguzi hapa mjini dsm almost 90% ya mambo ya kioffice yametawaliwa na wahind...na manyanyaso bado yapo maoficne...rushwa za.ngono bado zipo.kwa hawahawa wageni...sijui tanzania...
What up y'all?
Easy like Sunday evening....
Leo ni zamu ya wadada wa mjini kuja kula good time na Mr. Panty Melter.
Unajua kila sehemu na levels zake. Kwa hiyo leo nataka kampani ya wadada wa...
Jamaa mmoja alikosea kutuma pesa akatuma milioni mbili kwenye namba ambayo si kusudio lako. Akafikiria cha kufanya akaja na hii.
‘ Hello natumai u mzima. Naamini umepokea pesa niliyokutumia. Ni...