JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mh. Kitwanga amekuwa habari kubwa tangu uncle Magu atengue uteuzi wake!, kishindo cha utenguzi huo kimepelekea tasnia ya sanaa kutoa wimbo maalumu kusindikiza habari hii ambayo tunategemea...
3 Reactions
14 Replies
3K Views
Dear Coca-Cola, Those people in your ads, the way they grab a bottle of Coca Cola from a cooler filled with ice cubes, the way they open the bottle and drink continuously, as if they have the...
8 Reactions
6 Replies
2K Views
Kutokana na timu yetu ya taifa, yanga,simba na azam kufanyiwa figisufigisu wakienda ugenini kwenye mashindano ya kimataifa....na sisi wakija waarabu au tp mazembe tufanye hivi 1.tuwaweke sana...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Jamaa alikosea kutuma pesa akatuma mil2 kwa no tofauti. Akafikilia cha kufanya akaja na hii: ''Hello natumai u mzima. Naamini umepokea pesa niliyokutumia. Ni kwa ajili ya mwanzo wako wa kuingia...
7 Reactions
6 Replies
2K Views
Nimeona niseme kama atakasirika akasirike. Watu wamekuwa wakimhujumu rais wetu kwa watu aonekane mbaya. Kuna dada hapa mtaani toka amehamia mwaka jana mwishoni tunamwona anapita kwenda na kurudi...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Wakati tukiwa wadogo tuliaminishwa ukiona gari nyekundu au msalaba mwekundu hao ni mumiani wananyonya watu damu,nakumbuka mara tukaletewa habari kuna mwanamke anaitwa msekwa ana titi moja,uzushi...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wakuu. Bahati mbaya kuna kabinti kadogo dogo kalikuwa kamekaa karibu na mimi leo kameshika simu kuubwa kanachati na njemba mmoja kwa kuelekeza simu kwenye macho yangu ambapo hakukua na...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
video fupi ya ushauri wa ALIBABA
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Yani sasa imekuwa kama fashion, kila kijana fb ana ka page kake ambako sie ma friends 'tunashurutishwa ku like'. Watu wenyewe hizo wall zenu zimewashinda kupost vitu vya maana from January to...
0 Reactions
0 Replies
613 Views
Kwema wana Jukwaa? Baada ya salamu nirejee kwenye ada yangu ambayo kichwa chake cha habari bado hajijajitosheleza kuelewa naongelea nini. Siku moja nilienda kumtembelea dada yangu anaenifuatia...
15 Reactions
35 Replies
3K Views
Lady 1: How come your husband is always home on time? Lady 2: I have made a simple rule. SEX will be at 9PM, whether you are here or not...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamani eeeeh! Nipo kwenye dala dala hapa natoka kibaruani na kwa mji wangu. Nimekaa Nimekaaa siti karibu na mlango wa conductor, abiria wa siti ya nyuma kanyoosha mguu wake wa kulia, kule chini...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Hamjambo WanaJF! Jamani mi nina tatzo na cjui ilikuwaje nikawa hivi! Mi mwenzenu tangu siku ya kwanza nilipoona umbile tupu la hawa wenzetu wa kike wakiwa utupu... Namaanisha nikiiona face 2...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Habari kama wewe ni mdada umri 20-35 ingia PM tuyajenge. Niko serious sana nahitaji furaha.
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Mimi ningechagua kuzaliwa Simba! Wewe je! Ungezaliwa mnyama gani? Au ndege gani? Na kwa nini?
1 Reactions
121 Replies
9K Views
Nimeikumbuka Ile movie ya Jack Chain "THE DRUNKEN MASTER" kiukweli nimeimiss sana na bahati mbaya sinayo.... Nimejaribu kuiGoogle lakini kila nikiandika THE DRUNKEN MASTER Google inanisahihisha na...
0 Reactions
2 Replies
966 Views
Mbunge aliyeombewa kura na Mh. na kaachishwa kazi na Mh. Cheo cha undugu ndo madhara yake haya.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…