Leo nimefuatilia mijadala kadhaa kuhusu kutenguliwa kwa huyu mtaalamu wangu wa IT...Nilichogundua kwa wachangiaji ama wanahabari ni kuhitimisha maongezi yao kwa kuoanisha jina la KITWANGA na tendo...
Wakuu,
Leo saa 8 usiku nimetokewa na kibwengo zimwi,kinatisha mbaya, kina mkia wa punda, kwato miguuni, pembe kichwani kama mbuzi, sura ya binadamu, ana ulimi wa kenge mrefu kama kamba, kinatema...
Haya ni mateso bila haki. Wee subiri na Mimi Leo narudi na kitu
Kila MTU ana mzuka lakini si kwa style hii aisee hapana kabisa
Nyumba zenyewe hizi za uswazi hazina singlibodi halafu mnatifuana kwa...
1: Ukikaa karibu na jiko-charge connected
2: ukipia karibu na nguzo za umeme-power bank connected
3: ukipishana na mchina-new device as connected
kama una yako ongeza alafu bonyeza==>...
Nikawaida mtoto mdogo kuveshwa shang a......
Majina yao wengi huanzia na she..
.shekidege
.shembui
.shekwavi
.shebalua
.shekalange
.shemdoe
.shekinyashi
.shengoda
Shemnanga
.shemweta
Shekilango...
Profile za Facebook watu wote ni magraduate, wengine nilisoma nao tangu primary kitaa tunajuana vizuri tu. Tena wengi wanaweka UDSM, sasa hii ni kujifurahisha au inafaida nyingine jamani.
Leo kuna mdogo wangu nimemtumia meseji nimemuomba aniazime chaja yake ya simu.
Akanijibu 21002.
Nikawa mkali nikamuambia kuchajia mara moja tu ndio HELA yote hio si bora nikanunue Chaja yangu...
Mimi rais Mithili ya Broo Magu, simpi shikamoo, nikiingia kwenye anga zake, kama ananitumbua potelea mbari.
Naomba Mwenye picha ya mkurugenzi wa Uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere akimwamukia...
haya tuanze matusi...
1.kuifananisha leicester city na chelsea ni matusi kwa leicester city
2.kufananisha wanaume wa dar na wanaume wa mikoani ni matusi kwa wanaume wa dar..
3.kuwafananisha...
Habarini ndugu zangu was JF,
Natumai mu wazima wa siha njema.
Mimi ni kijana wa miaka 22,nina mpenzi ambaye tumedumu naye kwa takribani miaka miwili na ananipenda sana kwani mimi ndiye...
Eti walisema ukicheka unaongeza siku za kuishi na huondoa stress vile vile....
Hakuna ubishi kuna watu wana comment humu ukisoma utaishia kucheka na kufurahi mwenyewe...
Hapa chini baadhi ya...
WASH'KAJI EEEEEEEH!
NAULIZA KWA NIA NJEMA TU!
HIVI HAWA WANA WA M'LE KWENYE 'VENYU' M'LE,
YAANI
HUYU KAKA'ETU
"Wa kubadilisha sanamu ya askari"
NA
HUYU DADA'ETU
"Wa Kuwa na uchungu hadi...
Kuna utafiti nimeufanya,nimegundua wanaume weng wa kibongo hasa wa kizazi hiki cha kisasa hatuna ujasiri wa kutongoza wanawake ana kwa ana,unakuta mtu ni mko nae ofisi moja au darasa moja,lakini...