JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
za saa hizi wana jamvi nataka niwambie kuwa nimechungulia pale kona na kuona jamaaa wame Staff Online Now PainKiller Moderator Paw Moderator Rider Moderator pungua sio kama walio kuwepo pale...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Mmh
0 Reactions
4 Replies
8K Views
Hbr zenu wanajamii wenzangu. Nina furaha na heshima kubwa kuwaandikia machache kati ya mengi yaliyojili tangu nimefunga ndoa na Leo ikiwa ni siku ya nne. Kwanza kbsa nachukua nafasi hii kumuomba...
15 Reactions
520 Replies
40K Views
Angalia Video ya mbwa anaendesha piki piki Bofya hapa kuona video http://www.vyronewz.com/latest-news/mbwa-aendesha-piki-piki/
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mi nakumbukuka nilipokuwa jkt pale Ruvu niliwahi kutoroka siku moja wakati wa mchakamcha wa asubuhi mida ya saa 9 alfjr na kwenda kujificha migazini(kwa waliopitia Ruvu wanapafaham sana) ili...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
1. Mallya 2. Kibona 3. Kirawira 4. Kinabo 5. Kweka 6. Mlingi 7. Mushi, endeelea!! mkuu
0 Reactions
105 Replies
28K Views
MAMA MKWE HATARI .. Mam Mkwe: Hallow mwanangu Hujambo? Kijana: sijambo mama shkamoo... Mam Mkwe: Marhaba mwng za huko? Kijana: Huku safi tu Mama tupo fresh kiasi Mam Mkwe: et eeh...
3 Reactions
3 Replies
3K Views
wakuu kuna huyu best yetu kabla hawajapata kid walisumbua sana na manzi wake wa pande za kuleee,walikula bata,kuku ,swaga kibao, mara pati kibao pande za mount kibo, ilikua ni shidaaa mazee, but...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Jana niliwaleteeni uzi uliomhusu workmate wangu niliemuomba papuchi akanizingua lakni kwangu anakuja anakaa mpaka mida ya usiku sana Leo kaja na madharau mengine ilihar papuchi yake hataki...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Wanajanvini, asbh na mapema nilikuwa naelekea Bagamoyo sasa kuna binti nilimkuta kakaa tayari nami nikikaa kwenye sit aliekaa yule binti sasa ndipo akaanza kunishobokea nimlipie nauli eti yeye...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Wadau, Leo mwenzenu sina ratiba kabisa. Nauliza kama hapa Dar kuna eneo mtu anaweza kwenda either na Laptop yake kwaajili ya ku buy time/hang around bila gharama yoyote kama vile kununua...
0 Reactions
48 Replies
5K Views
Staff Online Now M Mod 2 Moderator PainKiller Moderator Viwango Moderator M Mod 5 Moderator Reserved Moderator JamiiForums Official Robot Paw Moderator Bridger Moderator Moderator...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Huyu faza noma. Angalia anvyowapiga vibao watot0 kanisani. Kweli huu ni ungwana? Bifya hapa Angalia Faza Anavyo Bariki Waumini! - Vyro Newz
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Nakumbuka kitambo nikiwa primo niliwahi beba chakula(iyo day nilibeba kuku na chapo) nanilikua nimeplan vile nitaflossia kale kacrush kangu ka class four. Izo masiku nakumbuka tulikua tunatumia...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
VICHWA VYA HABARI MIAKA KUMI IJAYO NA KUENDELEA ... TBC HABARI 2025: Ndugu Edward Lowassa aapishwa kuwa rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na kuwa rais wa kwanza kuongoza nchi hii kutoka...
3 Reactions
26 Replies
4K Views
Mwalimu kamuuliza mtoto kati ya baba na mama nani shujaa. Mtoto kajibu wote woga. Mwalimu, kwanini? Mtoto akajibu :Baba akisafiri mama analala na mlinzi. Mama akisafiri baba analala na dada (house...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani mbona leo mmechelewa, si tulielewana mida ya saa fulani kuliteka hili jukwaa aaagh…. Ok bac tujitahidi kesho mapema msiniangusheee!
0 Reactions
27 Replies
3K Views
MTOTO ANA SIRI.. . MTOTO: Mama jana baba alikuja na dada mzurii akamvua nguo huku akimuita beibi... . BABA: Unaongeaje na chakula mdomoni.. Funga mdomo pumbafff mkubwa wewe.. . MAMA: Endelea...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Leo nasheherekea siku yangu ya kuzaliwa na kutimiza miaka kadhaa.. Namshukuru Mungu kwa mengi... pongezi sana kwa mwingine aliyezaliwa siku kama ya leo na Taurus wenzangu wote.. Nifah karibu...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
anayejua buni vichekesho vya SMS aje tuchart WhatsApp nimpe pesa 0676019019
0 Reactions
0 Replies
957 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…