Hapo mtaa wa pili mama mmoja ametafakari hatua aliyoichukua JPM kumtumbua mkurugenzi mmoja aliyefanya kazi tangu April 2013.
Mama huyo ameamua kuhamishia hatua kama hiyo kwa mfanyakazi wake wa...
Jamani ndugu zetu wa dawasco jiji letu pendwa la Dar limezidiwa na baridi hivyo nina ombi maalumu, tunaomba kuanzia mida ya saa kumi alfajiri mpaka saa nne asbuhi mabomba yawe yanatoa maji moto...
KAMA UNABISHA JARIBU!
1: Huwezi kuweka sabuni kwenye macho.
2: Huwezi kuhesabu nywele za kichwani.
3: Huwezi kupumulia PUA wakati ULIMI uko nje.
4: Najua umejaribu hilo la 3.
5: Umeonekana km...
BABA: nilishakukataza kushinda na RAYMOND tatizo usikii
MTOTO: kwa kweli mi nashinda nae kwa ajili ya kunisaidia kwenye masomo
BABA: hv wewe unaweza kushinda na PIPI mdomon usiile?
>...
Mabibi na mabwana itifaki imezingatiwa!
Moja kwa moja niyaanike yale ya moyoni,ikiwa hata wiki moja hajamaliza toka moniccca autangazie ulimwengu kuwa tayari ameshaunganisha mwili wake mpaka kifo...
aaaaaaaaaaaahahahaaaaaha, eti wanaume wa dar wanashindia kunywa supu ya pweza tu wakati wanaume wa mwanza wanachapa sato na sangara tu, wakuu mnadhani kuna tatizo gani hapa kwa mfano?
Jamaa alionekana Mnyooooonge sana ikabidi mpita njia amuulize...
Kaka, mbona u mnyonge hivyo?"
Jamaa : 'aaaaah we niache tu, kuna rafiki yangu nimemkopesha laki tano akafanye PLASTIC SURGERY ya...
Jamaa ndo mara yake ya kwanza kuvutishwa bangi!
Ilimpokolea wenzake wakamwambia nyanyuka twende jamaa kuanza kutembea anapiga kelele mikono yake inaburuza chini akitembea mmoja akamwambia basi...
Wana MMU napenda kuwapa habari njema kwamba mwana MMU mwenzatu charminglady amejaaliwa kupata Baby Boy mwenye afya njema.
Naomba tumpongeze na kumpa zawadi humu humu MMU.
Taarifa hizi...
Ishawahi kukutokea umepumzika sebuleni mnakula chakula cha usiku pamoja na wife na watoto mkawa mnacheki t.v show amazing alaf ghafla katkat ya show vitu flan nasty vikaanza kama sex scenes na...
Habarini za asubuhi wa ndugu wapenzi.
Naamini mmeamka salama, pia nawapa pole wote ambao hamko poa leo, nawaombea kwa Mungu mpone haraka.
Baada ya hayo nachukua nafasi hii kuwaalika nyote ktk...
Habari wanajf!
Bilashaka mko poa na mnaendelea vyema na ujenzi wataifa.
Nimerejea tena jukwaani kuleta yaliyojiri baada ya fumanizi.
Bila Shaka mnakumbuka siku chache zilizopita nilitumbukiza...
Yesu. Halo Yohana ile pesa itume bac kwa M.pesa naona leo mtandao uko vizuri..
Yesu..Halo petro hivi mpaka saivi hujafika kanisani unafanyeje huko.
Yesu. Baada ya ibada kama kutakuwa na mwenye...
[emoji116]
Nataka kuwasaidia tu........ 2 all men,
When you walk into a club.........The first thing!! MARK
THE UGLIEST WAITRESS and mark her very well.
i repeat,MARK THE UGLIEST WAITRESS..
IF...
Ebwana wanaJF mzuka!
Wala sidanganyi udhaifu wangu tu hupo hapa. Kila nikipishana nao
mapigo ya moyo wangu dhaif yanaenda mbio kwa kas ya ajab. Siku nikiwa tajir Amatus cha mtoto. Eti namilik...
Je wewe ni mfanyakazi wa serikali na umeathirika na katazo la kutosafiri kwenda nje ya nchi kwa makongamano, semina elekezi na Mikutano? Mganga Maarufu toka Zanzibar anakuhakikishia safari kadhaa...
jamaa m1 alikuwa zake kwenye daladala mara cmu ikaita kuchek mke wake kutokana na kelele akaamua kuweka loudspeaker
JAMAA: EEH beib nakuskia
MKE : nauliza umeweka wap soks zako maana nyumba nzima...