WASH'KAJI EEEEEEEH!
KWA HALI HII ROHO YA CHUMA INAHITAJIKA SANA.
KUTOKANA NA TABIA YANGU YA KUTOA TABASAMU,
SURA YA UCHESHI,
NA SALAMU YENYE BUSARA KWA KILA MTU,
NIMEZOELEKA NA KUPENDWA GHAFLA...
Mwisho wa trophy point ni 113
Kwanini iwe 113?
Kuna siri gani nyuma yake?
Kukuruka wee post zitaongeza followers wataongezeka likes zitaongeza hasa kama unatokea kapuku forum [emoji23] [emoji23]...
Mvuta bangi kaposa mtoto wa kike mwembamba sana. Siku ya harusi mama mtu akamzungushia mwanae
magazeti apate kuonekana kajazia. Harusi ikapita, muda wa kulala ulipofika, jamaa akataka haki ya...
MSAADA WADAU
KUNA MZEE KAMLETA MTOTO WAKE KWANGU ILI NIWE MWALIMU WAKE WA TUITION YA ENGLISH.
SASA MZEE KANIGONGA INTERVEIW KIDOGO, KANIAMBIA NIMTAJIE MFANYAKAZ HEWA KWA KINGEREZA...
Hii ndio Bongo
Ilikuwa Ijumaa mida ya saa 10 jioni, mzee mmoja aliingia na kibinti kizuri kwenye yard ya magari mapya. MZEE: Chagua gari unalotaka mpenzi....kabinti akazunguka yard yote mwisho...
Waumini watatu walikutana kwa siri na kuelezana matatizo yao ili waweze kuombeana.
WA KWANZA: mimi tatizo langu ni wizi, kila nikimaliza ibada lazima niibe pesa za sadaka.
WA PILI: Mimi tatizo...
Kutongoza hata kwa kamera tu:
dada samahani naweza kukupiga picha
Dada: ili iweje anko!
Nataka kuja kuwaonyesha wanangu mama yao alivyokuwa enzi za ujana wake!....
ENDELEA MWENYEWE....
Wanajamvi kama heading inavojieleza,
Katika vitu huwa nakosa tafsiri sawia, ni suala zima la mapenzi yaani kuanguka penzini. Kweli usipofikiwa na hali ya kupenda au kumpenda mtu inakuwa hivi; Mtu...
Samahani mkuu ningependa kufahamishwa juu ya hili maana nasikia zamani mtu ukiwa ulaya huku nyumbani ilikuwa ni full heshima ila huko mbele watu walikua wanafanya kazi ya kubeba box na kutoa...
Mchana wa leo naelekea Dom na private car je unawaza changia kidogo twende wote, akijitokeza bi mdada itapendeza gari linukie japo si lazima awe wa kike, ni inbox kama upo serious ni saa saba...