JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Dah vituko haviishi kwa hawa watu! Mara w amefanya hili mara lile! Nasikia siku hizi wake zenu wakiacha nazi ndani basi ni majanga. Mnaiba nazi kupita kiasi! Akiacha nazi nzima lazima aje akute...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Inakuwaje wanaume wa Dar tunatembe kimdebwedo kiasi hichi? Biblia yangu inasema tumeumbwa kwa mfano wa Mungu, siamini hata kidogo Mungu anatembea kivivu namna hii (walking aimlessly) wengine hujui...
0 Reactions
1K Replies
73K Views
Jason Borne na Chabruma, where are you? Nimemiss sana stori zenu...
1 Reactions
4 Replies
920 Views
MTEJA--Samaki bei gani? MUUZA--150! MTEJA--Mwisho? MUUZA--Mkiani! MTEJA--Mbona samki mwenyewe ka legea sana??. MUUZA--Muulize lamda alikua shoga baharini. MTEJA --Mbona una majibu ya shombo...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau! kiukweli nilikuwa nasikia sifa za Dubai nikawa natamani kwenda kwa miaka kadhaa nimekuwa nikijpanga /kuweka pesa ya nauli mwezi Februari nikaona ofa ya FLYDUBAI 50% OFF nikakata tiketi ya...
2 Reactions
54 Replies
12K Views
1-huna uhakika na kula na una elfu moja pekee ulionayo unaamua kunywa viroba. 2-huna kitanda na unaamua kuoa hayo pia ni maamuzi magumu. 3-huna uwezo...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Kwako ewe mwenye msongo wa mawazo na wengineo Ushauri nasaha unahitajika kwa awa Binadamu...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Bana eeeh, Mi nna katabia kakuwaangalia sana wanawake sehemu za nyuma nikipishana nao...Haswa wale wanaovaa vibaya... Si peke yangu ni wanaume almost wote...Its a natural thing!! Nakumbuka when...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Hi JF Baada ya mtifuano mkali kuendelea kati ya wadaslam Na wa mikoani na kuweka vita baridi sababu hakuna aliyeibuka mshindi. Hatimaye wa mikoani wamefikia uamuzi wa kutopeleka viazi ulaya na...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
TUCHEKE Bi harusi baada ya kuolewa alihamia kwa mumewe anayeishi na wazazi wake. Akakaribishwa na lecture kutoka kwa Mama mkwe wake, sheria na katiba za nyumbani. Mama mkwe: Mimi ndio Waziri...
10 Reactions
19 Replies
4K Views
Wakuu kwanza kabisa kama mnavyojua kila kitu kina faida na hasira, mbali na shida zote tunazopata wakazi wa dar kipindi cha mvua yaani foleni, mitaan maji yanajaa ila kuna faida zake Mvua ya juzi...
2 Reactions
64 Replies
6K Views
Breaking news Babu wa loliondo amefariki dunia baada ya kupigwa risasi tatu na ndugu wa mgonjwa mmoja! sababu za kumpiga risasis hasijafahamika lakini jamaa anashikiliwa na polisi. Tetesi...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Binafsi kwa sasa napenda tangazo moja la vodacom ongea deilee sijui wewe ni lipi na ambalo silipendi ni la coca cola
1 Reactions
58 Replies
10K Views
Kipindi cha nyuma nlikuwa sipend kabisa kuchepuka. Ilikuwa mpaka inaleta shida kwenye ndoa. Sasa mvua imenisababishia niwe nachepuka maana usipochepuka home unaweza jikuta unaingia saa 5 usiku...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
wadau naomba kusaidiwa salun gani hapa dar naweza kwenda yenye huduma nzuri na usafi uliotukuka
0 Reactions
3 Replies
344 Views
Hivi karibuni Mkuu mmoja aitwaye Pasco alileta thread kuhusu kusumbuliwa Na Makufuli.. Katika ufafanuzi wake kwenye posti zilizoendelea kujadili thread (Uzi) huo, Pasco alifafanua kuwa kufuli ni...
6 Reactions
6 Replies
1K Views
Sikuwahi kudhani kama naweza potea kizembezembe hivi kama leo. Nilitokea mitaa ya Tazara na shida ilikua nifike Sokoni Buguruni ili kununua mazagazaga ya nyumbani, kwasababu ya foleni nikaamua...
2 Reactions
61 Replies
12K Views
Wadau habari zenu...kwenye thread hii natarajia kupokea picha za daraja la kigamboni kwa mtindo wa selfie! Najiandaa kuelekea bongo na kupjipitisha darajani Kigamboni na kupiga picha 'selfie' ya...
0 Reactions
74 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…