JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nimeenda kununua hizi Mali ,nikaingia nazo kwenye dalala aisee Nikasikia wanaanza kusali🤣🤣😂😅😆 Kisha wakamwambia konda anishushe,eti Mimi sio mtu WA kawaida Jamani weusi wenzangu acheni ushamba...
1 Reactions
11 Replies
682 Views
Kuna watu unakuta wanaulizia ID flani za JF baada ya kutoonekana kwa muda. Kuna watu hupata ushauri ambao unawaondoa kabisa kwenye hali waliokua nayo. Kuna watu husema wamekua addicted na JF...
21 Reactions
155 Replies
4K Views
Hakika imeenda vizuri sana na nimefurahia 😊. Kwako imeendaje hii siku?
15 Reactions
153 Replies
1K Views
Sina hakika kama ni Afrika nzima au Mtanzania tu. Wengi wao akikupigia simu baada ya kupokea simu yake na akagundua kuwa haukuwa mlengwa, basi hukata simu ghafla bila maelezo yeyote. Huwa kuna...
3 Reactions
13 Replies
349 Views
Nakumbuka ile nimemaliza tu form four nikasema hapa sibaki home nasepa zangu porini kupiga mishe za kuchana magogo,kusomba mbao na kupakia kwenye magari.Basi time ilivofika kuna jamaa nilisoma...
19 Reactions
58 Replies
2K Views
Habari wakuu Natumaini wote tulisoma kwenye zile shule zetu mambo mbali mbali, ikiwemo mambo ya kuzingatia katika uanzishaji wa kiwanda. Inawezekana yale tuliyoyasoma shule, tumeyaacha kule kule...
4 Reactions
37 Replies
361 Views
Mimi ni wanangu wa kiume, hua wanaamka asubuhi na kuweka wali kwenye rice cooker kwa sababu wakila vitafunio kama mikate hawashibi. Wanaanza na chai na kitafunio kama starter, halafu wanakula...
10 Reactions
84 Replies
1K Views
1.Simiyu 2.Geita 3.Shinyanga 4.Mwanza 5.Mbeya 6.Iringa 7.Njombe 8.Ruvuma 9.Lindi 10.Mtwara 11.Manyara 12.Singida 13.Rukwa. 14.Songwe 15.Dodoma
11 Reactions
63 Replies
3K Views
Yani wazungu bana hii chatGPT wametuweza sana, hata hivyo wakuu, hii kitu isifananishwe na Ile takataka ya wachina kabisa. Chatgpt ni next level . 🤣🤣🤣.
26 Reactions
107 Replies
3K Views
Asamaleko wadau Mimi nina hii tabia ya kupenda vitu vikubwa na vyeusi. Pengine kama inakuwa na sababu fulani naweza kupata jibu hapa. Tangu enzi nanunuliwa mavazi nilikuwa napenda sana nguo...
8 Reactions
64 Replies
829 Views
Habari zenu champs!!! Wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema aisee naombeni msamaha wakuu najua kwa namna moja ama nyingine tulikwaruzana sana humu kutokana na kupitishana misimamo na ikifikia...
4 Reactions
7 Replies
213 Views
DISCLAIMER (KANUSHO): Uzi huu ni maalumu kwa ajili ya burudani tu, Maudhui yake hayana nia ya kukashifu, kudharau au kuchukulia poa harakati/imani/mitazamo au kazi za watu.. Tufurahie na kucheka...
105 Reactions
410 Replies
17K Views
Wadau hamjambo? Nimehamia huku panaitwa Zumba mabanzini mkoa wa Pwani, kwa ufupi unapo toka Dar panda magari pale Mbezi yanayokwenda Boko Mnemela ukifika Boko Mnemela kodi boda boda elfu 6 mpaka...
3 Reactions
32 Replies
7K Views
Leo nakiri bila kushurutishwa makalio yana umuhimu wake. Najua baadhi ya waja hasa flat screeners wataguna😜na wengine wameenda mbali zaidi kwa kudai eti makalio makubwa yanapunguza akili...
6 Reactions
34 Replies
654 Views
Happy Valentine's Your all Deserve this. Enjoy your Day. Kisses 😘
11 Reactions
98 Replies
845 Views
Hawa watu wa Buchani wanadharau sana. Yaani mtu akinunua nyama robo wanamfungia kwenye gazeti. Tena la michezo, au kwakuwa analeta mchezo na nyama??
12 Reactions
35 Replies
476 Views
https://youtu.be/dZaiVgolHgY?si=5V0wXgHB-OVl-HiP
0 Reactions
2 Replies
108 Views
Habari za jumapili members wa jamiiforums. Asilimia ya kumwamini Mungu imebaki moja tu.
7 Reactions
100 Replies
1K Views
Wakuu ile thread ya Spana & VAR Movement ilipotelea wapi humu?? Embu check hii komenti ya mwamba kwenye hizo images 😂😂🙌
0 Reactions
2 Replies
121 Views
Eti wakuu ivi kuna ulazima? Maana naona kila mtoko ni unaambatana na full minyama choma n.k. Kwani hamuezi kuchill tu sehemu mkastorika tu na labda kupooza koo kwa maji kidogo?
4 Reactions
19 Replies
193 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…