Kabla ya ndoa mambo huwa hivi;-
MUME: Natamani sana iwe hivyo.
MKE: Vipi, wataka niondoke?
MUME: Hapana hata kidogo.
MKE: unanipenda?
MUME: Ndo maanake.
MKE: Utakuwa na mpenzi mwingine zaidi...
Wakuu jana nimepambana na nyati live kilikua ni kifo lakini nilifanikiwa kushinda mpaka nyati akatoka nduki, jana tulipata pancha Mikumi mida ya saa 9 mchana nilipokua nabadili tairi ya gari...
Jamani kuna bidada jana kafanyiwa mchezo na mchumbake. Mchumba kampigia simu bidada huyu kwa namba mpya huku akibadili sauti na jina.
Akajifanya mshefa mpya kabisa wamepeana namba hivi...
Wandugu Siku hizi naona kila baada ya nyumba kumi kusa kanisa, ama kila mtaa unakuta makasina hayapungui matatu.. sasa kuna hilo jipya liko mtaani kwangu yani vinguo vinavovaliwa ni balaa ivi ni...
Maisha ya uswazi kwenye nyumba ya kupanga nilikuwa poa sana kipindi cha nyuma mfano umeme ukikatika ghafla.
Mimi uwanajitolea kununua hili tusilale kiza na hili joto lisitutese hata kama mchango...
Naapa kama nikienda tena Gongo la mboto basi nitapanda bodaboda ili kuepuka haya.Nilikuwa naamini mara nyingi wanaume wakwasi ndo wenye tabia hii chafu ya kuwabahishia wanawake kwenye daladala...
Stori inaanzia miaka ya 80 huko, kipindi damu inachemka, nilijuana na dada mmoja mzuri, mwenye upeo na uzuri wa kimaumbile.
Baada ya kukutana mara kadhaa nilifall in love naye, na kwa kuwa...
Kwenye tangazo la kampuni moja ya Simu, mdada anamlalamikia EX wake kwanini amefungua whatsapp group akali-name 'Ma-EX wangu'
Hili ni tangazo tu lakini just imagine posts za humo kwenye group...
Tena mrembo kweli. Anakunywa safari lager tena za moto. Ila alijistukia baada ya kuona jamaa wanamwangalia sana. Baada ya kunywa kama bia 2 hivi akabadilisha na kuagiza serengeti.
Nimeshangaa...
Ever wondered how hard we work to fill our life with luxuries that we hardly have time to enjoy.
LOOK AT IT THIS WAY... The luxury Cars, Toyotas, Land Cruisers, Rav 4's;Mercedeses that are...
Habari wakuu,
Huu uzi nauandika nikiwa high, so nashkuru kwa makosa yoyote ya kiuandishi nitakayopatia.
Juzi nilielezea mkasa wangu hapa wa baba mkwe kunifanyia mambo ya ajabu... Wengi walidhani...
Chintu failed in the final Law Exam & decided to make a deal with the Professor.
Chintu: Sir, Can I ask you one question?
Professor: Yes.
Chintu: If you can answer this question, I will accept...
Lile gwiji la kusimamia chaguzi barani afrika mr Jecha S jecha limekuwa tipped kupata tuzo ya nobel baada ya kuwakosha wapenda amani duniani kwa kusimamia vyema uchaguzi wa zanzibar ulioweka...
ndan ya ndoa hii kulikuwa na kutokuelewana mwanamke akawa ananong'ona hv:
***
mwanamke: yaan bora kuolewa na shetan kuliko huyu bwana
mume: DINNI zimeshakataza mtu kuolewa na ndugu yake
______