Kuna mahadhimisho ya smartphone jumamosi ijayo
Techno-Mtakutana viwanja vya Jangwani
Huawei - Viwanja vya Mnazi mmoja
Nokia-Viwanja vya Biafraa
Samsung - Ukumbi wa Lamada hotel
Blackberry...
Jamaa mmoja alifiwa na mkewe akawa na huzuni.. Mara akashika chupi ya mkewe na kuanza kulia sanaaa...! Akaulizwa; "kulikoni, mbona kilio kimeongezeka ghafla?" akajibu huku akiionesha ile chupi...
Habari wadau katika pitapita zako huku na huko si unajua mazingira ya mashambani tena mara ukashikwa na tumbo la kuharisha gafla ukatafuta sehem ya kujisitir japo kichakan hakuna kwa sababu ni...
Ni Nadra Sana Hasa Katika Ofisi Zetu Hizi Kumwona Bosi Mkuu Akienda Kujisaidia HAJA KUBWA au Kutumia Choo Cha Ofisini Na Ambacho Ni Cha Public Kujisaidia HAJA KUBWA Na Badala Yake Bosi Huyo Yuko...
Miongoni mwa mambo yanayonifurahisha sana hapa Jf ni vidubwasa hivio_O:rolleyes::rolleyes::eek::D:p:cool::confused::mad::(;):)..... kipindi cha nyuma vilikuwa vingi sana sasa sijui wamevipeleka...
Udaku News
WAKATI wanawake duniani kote leo wakiadhimisha siku ya wanawake duniani, wake wa mkurugenzi wa kundi la Jahazi Modern Taarabu, Mzee Yusufu, Leila Rashid na Chiku wamekatazwa kutumia...
MASSAWE....YELE WIIIIIIII
Massawe alikuwa kanisani, kapu la sadaka likaanza kupitishwa, lilipofika kwake akatoa noti ya shilingi mia tano akaikunja kisirisiri akaitumbukiza kwenye kapu.
Mara ile...
Wana jamvi embu leteni maoni yenu juu ya huku ugumu wa maths nani amechangia kwa kiasi kikubwa..mm hasa naona ni ALGEBRA yeye ndie ameleta uhasama kwenye maths baada ya kuchanganya herufi na namba..
GIRL: Baby, hebu niambie harusi yetu
itakuwaje?
BOY: Yaani hii haijawahi kushuhudiwa, ngoja
nikupe kionjo kidogo tu
GIRL: Enhee...
BOY: Kwanza siku ya kupeleka mahari nitaswaga
zizi zima la...
Nimetoka kambini, niko hapa... Ktk siku hii ya wanawake nipo hapa mkasa pub.. Napenda kuwapongeza wanawake wote hasa wale wenye makalio makubwa..
Kama upo karibu, karibia tuburudike kwa kinywaji...
Mimi kama Mwafrika siyo tu nimelisikia hili ktk kwa watu wasio Waafrika bali nimelishuhudia na ninaelendelea kulishuhidia kila siku kwamba Watu wengi hapa Afrika hatuna akili maana yake ni kwamba...
Nimekubali jf kiboko acha niifagilie yaani kila kitu ukiweka unahitaji msaada au elimu ukirusha tu unapata mawazo ya wadau tofauti hadi tatizo lako linapata ufumbuzi.hiyo ndo jamii forum bana big...