JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mume amempigia simu mtalaka wake ataka warudiane. .. Mume: nisamehe naomba turudiane... Mke: una kikombe hapo? Mume: No! Kwanini?! Mke: Kachukue kikombe jikoni... Mume: Umefanya wazimu? Sawa...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
naomba niambieni kuna siri gani ambayo mwanamme wa kingoni anatuzidi sisi. Maana kila kukicha wenzetu wanamwagiwa sifa na ni rahisi sana wao kukubabaliwa na akina dada. Jamani kuna siri gani na...
0 Reactions
147 Replies
35K Views
Kama mtu ameshiriki tendo la ndoa na zaidi ya watu 8 hana haki ya kuita kiungo hicho SEHEMU ZA SIRI bali ni mali ya UMMA chini ya Wizara ya Utalii na Burudani. Kama ni zaidi ya 10 basi ni mali ya...
9 Reactions
10 Replies
3K Views
Naomba kuuliza kwa anayejua hili:- Je Jogoo Aliewika Baada Ya Petro Kumkana Yesu Mara Tatu Alikuwa Wa Nani? Karibuni kwa majibu wapendwa
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Tuko njiani tunaenda kupanda daladala kuelekea hospitali kumuona jamaa yangu amelazwa tangu jana. Kwa hiyo niko na mke wake tunaenda kumjulia hali.
2 Reactions
36 Replies
4K Views
Msaada jamani; Hivi inafaa kukaa muda gani baada ya kula kwa jirani ndio uondoke ili usionekane ulifuata msosi tu??
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Kwa kuwa leo ni siku ya wanawake na sehemu nyingi hasa kwenye Radio na TV station wamewaachia kuendesha wanawake kwayo wanaume wenzangu humu mnaonaje nasi humu leo tuwaachie wanawake ndo wachart...
0 Reactions
6 Replies
802 Views
Habari zenu member woote wa JF, Kuna member mmoja hivi humu ndani anaitwa rubii mdada huyu avater yake haina maadili kavaa chupi tu! Mapaja yote wazii.Sasa kiustarabu namuomba abadilishe...
2 Reactions
56 Replies
4K Views
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Napenda kuu-dedicate huu wimbo kwa akina mama wote wanao ‘FANYA MAARIFA’ decently kabisa na kuweza kutunza familia zao aidha wameachwa na wamme zao, wajane or single parents au wale wanaosaidia...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Wivu ukizidi akili na busara hupungua Mzee baada yakufika home after work kachoka akamkuta Mkewe kanuna Baba: Una tatizo ganii mama? Mke: Mme wangu kwa kweli tokea upate hii ajira mpya nakosa...
3 Reactions
1 Replies
1K Views
Battle kati ya GENTAMYCINE vs @K 4 real AU einstein newton vs Deception AU Nyani Ngabu VS SERGIO Desouz AU lara 1 VS warumi AU Chief-Mkwawa VS NullPointer AU mshana jr VS MziziMkavu & jichawi ...
4 Reactions
5 Replies
706 Views
CC: Masunga Jr. , MK254 , kui , Nyani Ngabu , Dotworld , SHIEKA , Elungata , Bukyanagandi , mchambawima1 , Koba , Gamba la Nyoka , Ritz , Upiversity , kahtaan , Paulo Sergio De Souz , Kaboom ...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Hivi gari zina nini jamani!?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
hebu tueleze siku hiyo ilikuwaje
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwanini ulijichora tattoo mwilini? Umewahi kujuta kwanini ulijichora? Mi siwezi kujichora tattoos sipendi naona kama uchafu,hata haipendezi.
0 Reactions
41 Replies
3K Views
Kati ya UTANI na MATUSI, Kuna KENGE na kuna MIJUSI, Kuna MATOPE na KINYESI.
4 Reactions
242 Replies
45K Views
konda : cheke cheke! abilia nauli abiria: mi mwalimi konda: onyesha kitambulisho mwalimu: (anashika mfukoni) hiki hapa konda (anakichukua kile kitambulisho na kukikodolea macho pande zote...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…