Wakati mwingine watu hawaamini kuwa walikosea. Lakini hiyo haijalishi. Kuomba msamaha sio kukuthibitisha kwamba umekosea la hasha bali unajitetea mwenyewe.
Usisubiri mtu akuombe msamaha na...
Leo mida ya saa nane kasoro ishirini usiku tumemkamata kibaka akiiba vitu kutoka katika gari yangu Harrier.
Kwa hasira tukaanza kumpiga kwa mawe na matofali, kwa zaidi ya masaa mawili anapigika...
To cut the long story short akili yangu inaniambia rudi kucheza mzawa kwa huku kijijini nilipo.
Na uchazaji wangu wa uzawa unanibadili fikra na personality kabisa.
Mengine mtanisikia, baada ya...
Siku kama yeo mwaka 2017 niliingia rasimi katika mtandao wa JF imetimia miaka Sita kama mwana JF natoa shukrani kwa wana Jf wenzangu kwa michango yenu.
Nimebadili sana maisha yangu mtazamo wangu...
Hello jf members
Angekuwa mtu mngine humu angeshatangaza mitandaoni kwamba anaelekea South Africa.
Ila mimi naenda kimyakimya.
Nitakuwa nanotice na kuwajuza mambo ya tofauti nayo experience.
Ikiwa sasa unatumia saa 17 hadi 20 angani kwa ndege kusafiri umbali mrefu mataifa kwa mataifa!
Ipo siku wataalam watafanikisha kupata njia nyepesi ya kuitembelea dunia kwa muda mfupi sana wa...
Unakuta kuna mtu una beef nae halafu humuwezi, so unaishia kuumia wewe.
Kuna huyu jamaa sitoelezea chanzo cha bifu letu, ila roho inaniuma siwezi kumfanya chochote. Jamaa anafanya kazi...
My birthday is today. Leo ndio sikukuu yangu ya kuzaliwa, ninamshukuru Mungu kwa kunifikisha kuiona siku yangu ya leo ya kuzaliwa. Karibuni wote tupate kushereheke sikukuu yangu ya kuzaliwa.
ni kinda langu rangi lenye rangi ya chungwa
viungo vyake na mwendo vinanichosha ..nachoka kabisaaa
nashindwa nyumbani kwao wamezingira ukali..nachoka kabisaaaaaaa
Nobody teaches volcanoes to erupt,
Tsunami to arise,
Hurricanes to sway around,
Nobody teaches how to choose a wife
Natural disaster just happen !!!!!!!!!!!
Habari wadau
Msimu huu wa sikukuu za kuzaliwa bwana ningependa tujikumbushe nyimbo nzuri za kusikiliza na familia
Mimi za kwangu ni hizi
1. The first Noel
2. Jingle bell rock
3. Hark the...
Baadhi hula kila chakula kwa pilipili, hawa watu wanakosa mengi sana kwenye chakula, hawajui hata ladha ya chakula ni ipi wanajua ladha ya pilipili tu, unakuta mtu msosi mpya wa nguvu anajaza...
Pamoja na kwamba mapenzi ni raha na ngono ni tamu, ila realistically speaking haina faida yoyote kipesa, mpaka sasa ukweli ni kwamba ngono ni miyeyusho sana bora kwenye pombe kuna michongo ya...