Dahh nimeamka kichwa kinagonga, masikio yameziba halafu nimekasirika sana. Na wala sio malaria inayonisumbua, tatizo limetokana na ishu ya kupeana tenda kirafiki bila kupimana ujuzi. Unajua kila...
Habarini Jamani
Now days kuwa na socia media nyingi sana ambazo mtu unaweza upload Picha na watu waki access wanaeza ziona hizo picha ulizo share
mfano mzuri ni Instagram,Facebook,Whatsapp,Imo...
Jamaa mmoja alishikwa akiwa na mitambo ya kutengenezea gongo ikafika siku ya mahakamani akawekwa kizimbani mambo yakawa hivi...
Hakimu;unashtakiwa kwa kosa la kukamatwa na mitambo ya kutengenezea...
Kuna mdada nipo naye kwenye mahusiano kama mwaka sasa lakini kila tukionana au nikilala naye lazima aniombe hela.Sasa najiuliza huyu ni girlfriend au ananiuzia.?Girlfriend Kwa ninavyofahamu...
Wadau bila shaka mko poa!!
Hivi ni mbinu zipi ambazo hutumika ili kumtongoza demu unaekutana nae kwa mara ya kwanza.
Nisaidieni mana courage hiyo sina ila nahitaji sana niweze
Ebwana wana JF mzuka!
Kila mara huwa najiuliza hivi kwa nini vitu vingi vinavyoanza na herufi K ni vitamu sana mfano kalmati, kachumbari, keki, kitumbua kuku.
Naaaaaammmm na hii ndio tamu...
Hivi inakuwaje umegombana na mkeo very strongly halafu umatoka kwenda kutumia sehemu unakutana na demu mkali ZAIDI ya mkeo na anakunyenyekea balsa huwa inakuwaje au unaweza chilukua uamuzi gani
Wakuu bila salam maana kila nikikumbuka tukio la jana hua nastuka stuka yaani
Hua na tabia ikifika jioni naenda kula dawa(sigara kubwa)maskani then nikitoka hapo napitia msikitini kusali sala ya...
Jana katika taasisi ya wanyama pori ya Nat Geo ilitangazwa kuwa ametokea nyoka hatari
sana ambaye hajawahi kutokea duniani wanadai kwamba nyoka huyo anaongezeka urefu wa 0.5sm kila kila chakula na...
Mbwa na Paka walikuwa wanasafiri
kwenye gari kwenda Iringa. Wakati safari ikiendelea Paka
akamwambia Mbwa, "Binadamu ana
dharau sana, wanyama wote anaowafuga
anawala kasoro sisi tu." Mbwa...
Mume: Mke wangu kuna kitu nataka kukwambia? Mke: Kitu gani? Mume: Nataka kuoa mke wa pili. Mke: Unasemaje we mwanaharamu?!
Tehe tehe tehe kilichoendelea mi sijui!
jamaa mmoja kavamia semina ya wasomi iliyofanyika ubungo plaza jumamosi iliyopita,waliohudhuria wakaanza kujitambulisha
wa 1;naitwa anna toka sua nasoma agriculture science mwaka wa kwanza
wa...
Jana kuna dada mmoja nilikutanishwa nae ili nikamuonyeshe mzigo flani anahitaji. Nikampigia simu akasema niko sehemu flani nimfate na nikafanya hivo.
Kufika tu Hatujuani, ndio tunaelekea sehemu...