wakuu habarini za wakati huu.
kuna hili swla la kutumia baadhi ya ID hapa JF kwakweli inabidi tuwe makini kidogo
Juzi nilipanda na mama mtu mzima tu kwenye basi kutoka dodoma kwenda morogoro...
NDANI YA KANISA:
MCHUNGAJI: Ningekuwa na uwezo ningechukua Guiness zote na kuzimwaga mtoni!"
Waamini wakajibu Ameen!
MCHUNGAJI: Ningechukua Safari zote na kuzimwaga mtoni!
WAAMINI: Ameen...
Juzi kwenye kijiwe kimoja kariakoo ambapo huwa napata kahawa/tangawizi mara mojamoja ili kujua yanayotokea mitaani kulikuwa na mabishano makali kuhusu mapigano yaliyotokea China baina ya makabila...
- Naomba kutumia GPS zenu wadau muweke maeneo yenye watoto wakali (kwa muonekano wa machoni) hapa Dar ili kuwasaidia wenzangu na mimi wanaosaka wachumba kuweza kufanikisha zoezi kwa urahisi zaidi...
Leo ni birthday ya Malcom Lumumba,..Almanusura nipate ajali leo asubuhi navyoenda kazini daah.
Kweli wanawake siyo madereva wazuri. Yani anataka kunisababishia ajali kwenye siku yangu ya...
MKE: Ulilala wapi? Unanidharau sana unanirudia mie alfajiri, leo lazima unambie huko ulikolala
MUME: Mke wangu mpenzi jana nilichanganyikiwa, si unamfahaamu rafiki yangu Joshua, basi jana dada'ke...
Wadau tangu kubadilishwa kwa mwonekano wa JF sijawahi kushuhudia mwanzilishi wa JF Maxence Melo akiwa offline iwe asubuhi, mchana, jioni na hata usiku wa manane.
Kipindi naandika hii post...
ALITOKEA MVULANA MMOJA:
MVULANA: Daktari, rafiki yangu wa kike ni mjamzito, lakini mara zote nimekua nikitumia kinga. Inawezekanaje hii?
DAKTARI: Ngoja nikusimulie hadithi. Kulikua na Muindaji...
Ukikipenda kitu ni ugonjwa mbaya sana hutasikia la mnadi swala wala la muadhini ni full kudata... Huambiliki.... husikii... Hushikiki... Hukamatiki!!!
Ni sawa na ulevi wa bangi, ulevi wa Mpira...
Ilikuwa hivi:
Jirani na ninapoishi kuna eneo limetengwa na Manispaa kwa ajili ya kuhifadhi takataka kwa muda kabla gari la Manispaa halijaja kubeba taka hizo.
Wakazi wengi wa mtaa wetu huona...
Jamaa mmoja aliingia baani akaagiza bia na baadae kumwambia muhudumu kwamba ampe kila mmoja alieko baani hapo bia moja moja maana anapenda anpokunywa na wengine wanywe.
Baada ya mhudumu kumaliza...
Jamaa kaenda kwa mganga wa kienyeji, alipofika tu mganga akamwambia, "Wewe una matatizo na mkeo." Jamaa akajibu, "Yaa ni kweli mtaalamu umejuaje?" Mganga akajibu, "Mimi nimejua tangu huko...