JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Shukrani kwa mchumi grade one niliyekuwa nimekaa naye jana kwenye ka pub kamoja kalichozungukwa na maji machafuyaliyoshindwa kupata njia ya kupita kutokana na serikali za mtaa chini ya CCM kupuuza...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Habarini Wanajukwaa. Leo ningeomba ku-declare interest kuwa hakuna jukwaa la kidigitali ninalolikubali kama jamii forums.Sababu kuu ni matumizi ya misamiati ambayo sijawahi kuisikia mahali...
5 Reactions
33 Replies
1K Views
Ni mwenyeji wa Tanga ambaye tulikuana Mtwara Masasi na Singida kama yupo humu tuwasiliana hapa
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Dah mida hii naingia zangu telegram nakuna na Boss join kwenye group la ovyo sana, sasa najiuliza how ameweza jiunga halafu ni mtu anaheshimika sana Dah nawaza nileft mimi au nibaki nikomae
8 Reactions
104 Replies
17K Views
Kichwa cha habari hapo juu chajieleza wazi kabisaa Kama uliwahi soma kisa cha ukweli ,iwe kinahusu mapenzi harakat za maisha, matukio mbali mbali ya kihistoria Just share with us Na sisi...
1 Reactions
0 Replies
380 Views
1. Mama: Naongea na wewe unajifanya kukaa kimya siyo? Mtoto: Lakini mama...... Mama: Nyamaza, yaani mimi naongea na wewe unaongea? 2. Haya nenda kacheze halafu uchelewe kurudi. (Kakwambia...
18 Reactions
78 Replies
4K Views
1. Mke/mume 2. Shilingi bilioni 35 3. Mbinguni/Peponi 4. Wazazi
4 Reactions
20 Replies
619 Views
Hivi daktari wa matibabu(MD) akiwa PhD holder anaitwaje?
2 Reactions
7 Replies
973 Views
Maelekezo aliyowapa wenzie yameigharimu timu, alafu kibaya zaidi baada ya Yanga kupoteza amekutwa chooni akicheka kwa furaha.
9 Reactions
11 Replies
1K Views
Nmechoka kuficha ndugu zangu mimi kazi kubwa mjini nabeti hakuna kingine uboss wote nautolea hukoo kwenye igaming jamani, Ni pata potea hapakaliki kivumbi uko kwenye maslots mpaka ugali...
8 Reactions
21 Replies
2K Views
Kwanza mpira haramu Kwanza mpira kamari Penati hazina mwenyewe Hata mastar wanakosa Ally salim mwanga Kwanza tumepiga mpira mwingi basi tu.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
1. Lack of capital 2. Poor government system 3. Lack of skilled labor 4. Dependance of import goods 5. Poor contract agreement between investors and the government 6. Extreme corruption among the...
0 Reactions
4 Replies
957 Views
Labda nakosea ndugu zangu ila mabinti wengi ambao nawaona wamevaa hivi vikofia/vibanio/vitaiti kichwani mara nyingi wanakuwa na mchecheto sana na viruka njia. Sio wote ila most of them nawaona hivi.
4 Reactions
34 Replies
2K Views
Muda: nilikaa wiki 2 bila kuoga nikaja kuoga mara 1 nikakaa tena wiki 2, Chanzo: Niliingia kwenye msala flan ambao hatma yake iliamuliwa baada ya siku 30, ulikuwa msala ambao ungeathiri hata...
6 Reactions
40 Replies
2K Views
Unaweza ukanywa maziwa siku 29 siku ya 30 ukanywa sumu bado utakufa vile vile. Hii inamaanisha ubaya wako mmoja unaweza kufuta mema yako yote. Kwa hiyo kuwa makini na mtu unayemtendea...
4 Reactions
4 Replies
1K Views
Tuambieni jamani wanawake ukiona ID yanani humu unaanza kupata hisia za mapenzi sema tu basi tujue siri sio nzuri. Naombeni mushuke
11 Reactions
455 Replies
13K Views
Mh, hiyo bei ya kitanda na jinsi kilivyo! Tutafute hela tu kwa kweli! Ukiongea sana utaonekana una nongwa! Pita kule na hiyo ni ofa ya punguzo! GSM
7 Reactions
70 Replies
4K Views
Taarifa kutoka Tanga zinaeleza kwamba wananchi wameanza kupikia mafuta ya kula , baada ya nazi kuadimika kwenye masoko. Haijulikani hasa sababu ya Nazi hizo kuadimika ghafla , bali wanazuoni...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Tupeni tu maua yetu kwakweli, halafu muache kukariri kwamba mwanamke yoyote ni lazima kuna mwanaume nyuma anamsaidia tu, kuna wengi tu wanajihudumia wenyewe kwa kila kitu wapeni maua yao aisee.
8 Reactions
21 Replies
992 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…