JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wakuu habari za Jumapili? Nipo Idodomya, makao makuu ya nchi. Naomba mnielekeze chimbo zuri ambalo kuna sehemu ya kulala, kula na kunywa bila kusahau maua mazuri.
1 Reactions
7 Replies
668 Views
Habari za wakati huu, Rejea swali hilo hapo juu...katika maisha ya ukuaji, masomo, utafutaji huwa tunajikuta tunakutana na watu wengi... wengine wanabaki kuwa tu watu tunaofahamiana nao na...
14 Reactions
87 Replies
3K Views
Huyu member anayejiita GENTAMYCINE, dawa ya minyoo kila kitu anakijua yeye. Michezo Mapenzi Siasa Mziki Usalama Matukio yanayotokea kwa Mwamposa Chakula na mapishi Urembo Yuko kila mahali na...
15 Reactions
116 Replies
4K Views
Naskia kuna kijana wa humu ndani alichukua kivuli cha ile picha akaipigia puli hadi akaanguka na kuishiwa nguvu kwenye magoti na miguu yote ikamlegea...🤨 Kwani hamjaiskia yule kija alie okotwa na...
3 Reactions
8 Replies
667 Views
Three contractors . . . one Mchaga, another Mpare and the third Msukuma are bidding to repair the Ikulu fence. They go with a one of Ikulu official to examine the fence. The Msukuma...
4 Reactions
3 Replies
2K Views
A little George was asked at school what his Dad did for a living. The boy replied by saying; "My Daddy eats light bulbs". The teacher asked him how his Father eats the light bulbs...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hung Chow calls in to work and says, "Hey, boss I not come work today, I really sick. I got headache, stomach ache and my legs hurt. I not come work." The boss says, "You know Hung Chow, I...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
An Arab was interviewed at the US Embassy for a U.S.A. Visa. Consul : What is your name? Arab: Asad Sultan Consul: Sex? Arab : Six to ten times a week Consul: I mean, male or...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
All the organs of the body were having a meeting, trying to decide who the one in charge was. "I should be in charge," said the brain, "because I run all the body's systems, so without me...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mimi napenda kumwambia Intelligent businessman aoe mke wapili ache michepuko ili tumuone next year, pili na mwambia National Anthem aoe usingle 2024 hautajiki au tunakuuza ukawe mtumwa huko kwa...
22 Reactions
251 Replies
7K Views
Habari zenu wana JF How are you all JF members Salut à tous les membres de JF hola a todos los miembros de JF Olá a todos os membros JF привет всем участникам JF JF שלום לכל חברי JF...
2 Reactions
7 Replies
449 Views
Wazee wanasema "Meno anayotumia mbwa kucheza na wewe ndio hayo hayo yatakayo tumika kukuuma utakapo mkanyaga mkia". Waweza kuumizwa na mtu ambaye unampenda mnoo mpaka ukashangaa na kujiuliza hivi...
6 Reactions
31 Replies
2K Views
Unawezaje kuishi mjini, kama DSM, bila deal la maana 🤔🤔🤔🤔
1 Reactions
29 Replies
1K Views
Chukua idadi ya 'likes' ugawanye na idadi ya ujumbe uliochangia kwenye hili jukwa, = (likes/ujumbe). Kama utapata zaidi ya 1, hiyo inatafsiri mchango wako hapa jukwaani unakubalika na wewe ni...
4 Reactions
0 Replies
433 Views
Hakikisha uwe umeshamaliza kula huko huko kwako utokako au unakodoeaga kila siku ndiyo uje katika shughuli ya mwanangu. Na ukija shughulini kwangu vinywaji ni mwendo tu wa juice za u-fresh kwa...
5 Reactions
22 Replies
1K Views
Wazee wanasema, "Mungu ni mwema lakini usiende kucheza mziki na chui". Nikweli kuwa Mungu anatupenda, ila anapenda pia tutumie akili zetu vyema. Kuna vitu ameshatuonesha kwamba ni hatari...
2 Reactions
8 Replies
756 Views
Haya ndiyo mawazo yangu siku ambayo nitajipata. 1. Siku nikijipata nitahakikisha bi mkubwa namfuta ule moshi na moto wa kutengeneza pombe kali, huku akikimbizana na polisi na mamlaka za serikali...
9 Reactions
36 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…