JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Utasikia nilikuwa nafanya moja mbili tatu kipindi najitafuta, au jitafute ww ni nani, usipojitafuta utakufa maskini Jamani ivi kujitafuta inakuwaje mwenye kujua japo kwa uchache atupe ABC na...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Wadau hamjamboni nyote? Nimerudi kwenu kwa mada mpya kidogo ihusuyo ene la Mbagala. ~ Huko hakuna hoteli ya kitalii. ~ Huko hakuna beach. ~ Huko hakuna makazi maalimu ya wakubwa. ~ Huko hali...
3 Reactions
31 Replies
2K Views
Hello, Member gani amekuwa bora kwako kwa miaka yote ya JF au tangia umeingia na umekuwa ukimfuatilia na kijifunza kitu kupitia yeye. Binafsi ni MSHANA JR na MPWAYUNGU VILLAGE. Nisiyemuelewa ni...
14 Reactions
553 Replies
14K Views
Kuwa mwanaume si jambo jepesi kwa hii dunia, imagine unatakiwa kumpa mtu hela na hakudai wala nini!!!
24 Reactions
76 Replies
3K Views
1. Nahisi Mshana Jr ni huyo wa kwenye avatar. 2. Nahisi anafanya kazi ya kuhifadhi miili ya marehemu kwenye hospitali moja hapa mjini. 3. Nahisi ni mtu katili sana kwa maiti yaani kuna muda...
13 Reactions
120 Replies
5K Views
Helloowww guyss!!! Today a true queen was born and I take this chance to wish her a very sweet, happy , lovely ,enjoyable, and an ameizing birthday! Mary God bless you and grant you many more...
38 Reactions
894 Replies
15K Views
Hey~Lo! Leo miguu juu na Celebrate my BirthDay and International Women's Day! ontop of the World!! Goooosh! Am Blessed right?! Maana sio kwa kupendelewa huku kwa kuzaliwa sikukuu ya wanawake...
3 Reactions
50 Replies
10K Views
Kama chumba ulichotengewa upumzike ugenini kina kunguni, mende, panya nk usifanye usafi mkubwa ikiwemo kuweka dawa za kuua wadudu pia usiwaambie wenyeji kuwa hulali vizuri kutokana na adha hiyo...
0 Reactions
10 Replies
403 Views
Naanza na mimi mwenyewe kijijini kwetu naitwa Marwa Mahende ila mjini naitwa Emmanuel John.
6 Reactions
53 Replies
2K Views
Basi yeye ajuaye Kugenda mema,wala hayatendi kwake huyo ni dhambi
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Hzi kelele za wanaume wanasema eti yafuatayo. 1. Tunasura za baba zetu 2. Tumepauka 3. Tunanjaaa 4. Tumezeeka 5. Wengi ni single mom Kama ndio hivyoo wenye nazo mjitokeze mtusupport ili...
18 Reactions
154 Replies
4K Views
Hii taarifa ya kupanda bei mafuta watu wa Shinyanga haituhusu kabisa tunabaiskeli zetu.
1 Reactions
0 Replies
235 Views
Furaha yangu imezimwa ghafla baada ya kutuma kwa bahati mbaya sticker ya ngono kwenye kundi la kanisa la Whatsapp. Mara baada ya kushtuka nikafuta kwa bahati mbaya sijafuta kwa wote, nilichagua...
37 Reactions
146 Replies
11K Views
Wakuu tujuzane hapa , naona Kama nishapitiliza, au niendelee tu kuwa single.
4 Reactions
260 Replies
6K Views
Wapwa mnafanya fanyaje mpaka mnapata wachumba humu mi mbona sielewi!?
9 Reactions
82 Replies
2K Views
Me mara yangu ya mwisho kuangalia movie za kihindi ni mwaka 2017 ilikuwa movie moja hivi inaitwa 'Shanklaj' Kwenye hii movie bana starling alipiga teke tembo, hadi tembo ikapaa, nikasema sitokaa...
2 Reactions
7 Replies
902 Views
If your only goal is to become the bride (wear a wedding dress), you will never achieve it.
0 Reactions
0 Replies
508 Views
Leo nimejua Kwanini waha ni wabishi sana, sababu ni hii safari ya kutoka kigoma mpaka Dar huwachukua almost siku tatu kwa Train hivyo wataalam wanasema hawa mabwana hupiga story kwenye train mpaka...
9 Reactions
37 Replies
3K Views
Dunia ya sasa ukiunga mkono na kuwa mshirika wa masuala ya ovyo ndio utapendwa na kuwa mtu wa watu. Kwa m/Mme: ukiwa Malaya,mhuni, misifa km yote, Basi ndio utapendwa Na wanawake wajinga walio...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom