Hivi kuna mtu ambaye amefanikiwa kuonja ladha ya hizi konyagi mpya ambazo zimejaa kwenye mabango barabarani? Maana ni muda mrefu naenda maeneo ila kila nikiagiza haiji yenye ndimu ndani?
Hebu...
Jamani kwema?
Hebu fikiria Kuna mtu anaingia chumbani anafunga mlango,anazima taa,anajifunika shuka,lastly anafumba na macho kabisaaaaa !!Sasa najiuliza ni kupenda Sana giza au Aina Fulani ya...
Salamu zenu wana Jukwaa,
Leo kwa mara ya kwanza katika pitapita zangu kwa nimemwagiwa maji machafu hadharani halafu ukicheki nimetupia pamba zangu za ukali kuwahi appointment na demu wangu, dah...
Nimealikwa jamani kanisa moja hivi, kabla sijafika nikapewa Stori Kwanza
Kwenda nakutana na mambo yako hivi💃💃
Dada anapambana kweli kweli doh 🙆🙆🏃🏃
Kwa Yesu kunanoga Balaa, Mauno kama Yote
Kwa kweli ndoto yangu ni kuangalia kwenye ile microscope na mimi niwaone wale bacteria, hahahahah.
Naelewa sio muhimu, ila natamani kweli siku moja nimuombe lab technician na mimi nichungulie.
Watu wa Mtaani walikubaliana Kuwauwa Wote kutokana na Kero zao za Kulia kama Binadamu na hasa nyakati za Usiku na nikawa Mtetezi wao.
Ila kwa jinsi wanavyolia sasa huku wakisogea mkabala ( jirani...
Hello.
Tuambie nani kwako ni msimulizi bora na amekugusa Sana kuanzia Uandishi, mpangilio wa aya, mtiririko wa matukio na mara zote story zake ni za kweli sio Fiction.
Nitajie watatu.
Tarehe...
Kama kuna kitu kingetegeshwa ili kugharimu maisha ya mamilioni ya vijana wa Tanzania, nini kingetumika kati ya hivi[emoji116]
[emoji3591]iPhone 14 pro ya bure
[emoji3591]Nafasi ya Ajira ya benki...
On a serious note jamani kuna yeyote mwenye taarifa zozote za Kuadimika Kwake kusiko kwa Kawaida hapa JamiiForums kwa Member (Mwanachama Mwandamizi) Daudi Mchambuzi?
Ni Mmoja wa Marafiki zangu...
A young couple felt they were having sex too often, so they visited Father O’Reilly for some counseling.
The priest recommended they take a vow to not have sex for a year, and the couple...
Matumaini yangu mu- wazima na mmeshaskia ukoo mmoja uchagani unaitwa mboro,walahi unanishangaza.
Kifupi ni hilo Jina,it never get old.
Kila nikiliskia redioni Kuna namna najiuliza maswali...
Karibuni vijana wenzangu born from 1994 up to 2000. To discuss this matter ya kuwa childhood imekwisha!!! Tushauriane namna gani ya kujipatia kipato....ukizingatia wengi bado ni jobless graduates...
Hello, this is daddy.
Is mummy near the phone?. A voice on the
other end answered;
No daddy, she is upstairs
in the bedroom with Uncle Paulinus.
After a brief pause the Caller said; but my...
(ANGALIZO: NAONGELEA WACHESHI NA SIO MALAYA..ucheshi hauna uhusiano na tabia mbaya)
Habari za leo wana chit-chat wenzangu.
Awali ya yote niwape pole Watanganyika wenzangu...kwa yaliyotupata...
Wanaume, mabaharia na vijana;
Nimewaita hapa niwaulize jambo kwani kuna jambo linanitatiza.
Wakuu huwa naona wanaume wenzangu kila sketi ikipita mbele yao wanaikodolea macho na wengine hufika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.