Hellow
Nimeona niliongelee hili kabla mambo hayajaharibika maana mtaani kushakuwa sheedah!
Hata kama mnasema maisha magumu lakini sio kwa usanii huu jamaaa
Ushawahi kuwa na mpenz ambae ni...
They say, desperate times calls for desperate measures!
Lakini wadada wa kibongo sikuhizi buana nawapenda sana, sio kwa kujiamini huku! Kuna rafiki yangu ametoka kuni surprise leo, kaniambia kuwa...
Kama kawaida road trip yetu na vijana wangu, wakawa wanabishana wanasema hivi "Demu asiekunywa pombe sio rahisi kumtongoza, kumvua chupi na kumla.
🙆 Demu anaekunywa pombe ni rahisi sana kumvua...
Mimi katika kusafiri kwangu na kuishi maeneo mbali mbali, kati ya wilaya ambazo zina guest house nyingi ni Dodoma Mjini na Babati Mjini. Unakuta katika nyumba kumi za katikati ya mji 7 ni Guest...
Hii ni kwa ajili yako mtoto mzuri Joannah ,Kiukweli wewe ni mwanamke uliyeko moyoni mwangu,kuanzia huo unywele wako mrefu,lips,kiuno hadi guu la byeeeri.
Nimeandaa fungu zito kwa ajili yako...
Vipi Ina raha Gani sijawahi jaribu kuvuta chochote sio sigara sio nini. .
N.b : ule uzi wa kuacha pombe Kwa miezi sita ushafeli napiga JB Mdogo mdogo nipo na yule mpangaji.
Ifuatayo ni aina mbili za watu maarufu kuhusu misimamo yao juu ya ya Dp World.
Watakao kataaa mwanzo mwisho suala la bandari.
1. Dr Salaa
2. Fr. Kitima
3. Mwanasheria wa Mbeya
4. Askofu...
Na Wanaume wanaoongozwa Kurogwa vibaya na Wanawake ( Wake / Wapenzi ) ni kutokea Mikoa ya Kagera kwa Wahaya, Singida kwa Wanyiramba na Wanyaturu, Kigoma kwa Washamba wa Kudumu Waha, Dodoma kwa...
Kama kichwaccha habari kinavyojìleza, wote tunaokunywa pombe za ķujificha tukutane huku tusingoje yatukute yaĺiyomkuta mzee wa upako, najua wengì tunatamani kuacha pombe lakini tumenaswa mahali...
Look! Time fly fast life goes on, Going thru a lot of bullshits but im still in a zone And i aint never bin demolished coz im still strong Being in this hustling game nigga for so long.
Nime...
Wasaalam
Ushakutana na ile moment uko kwa social nets, uko bize unaperuzi mpaka ikafikia time ukafanya katukia ka ajabu aidha ka hatari, ka kuchekesha au katukio ka namna yoyote ile
Ilikuwaje na...
Mwenzenu kuna manzi nilimuelewa sana tena sana. Hizi ngoja ngoja tukaja poteana. Tumekuja kuonana baadae manzi ana mkwanja hatari!
Sasa siwezi kumtokea saizi maana itaonekana nimefuata mkwanja...
Hope ni wazima wana JF,
Je, uliwahi kufanya tukio gani la hatari kipindi unakua?
Sitosahau siku moja ilikuwa ni likizo ya Pasaka siku ya Ijumaa tukiwa group la watoto kama 6 hivi, mmoja alikuwa...
Maisha yanatupeleka kasi sana na wanaume wa dizaini za Baba zetu wanazidi kupungua kwa kasi ya ajabu nilichokiona.
-Mwanaume wa leo hawezi badili taa iliyoungua mpaka amwite fundi.
-Mwanaume wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.