Na kutokana na Uwingi wa Watu kwa sasa Mkoani Mwanza huku Mahitaji yakiwa mengi na Masoko Kuongezeka hasa Soko Kuu ili Kujikinga na Mabalaa yasiyotarajiwa ( hasa Moto ) naishauri Serikali kuanzia...
Habari wakuu
Leo ni siku yangu ya kuzaliwa...
Namshukuru Mungu kwa mwaka mwingine...
Nina maswali kidogo...
Hivi siku ya kuzaliwa ni muhimu kusherehekea?
Na kama ni muhimu kwanini?
Habari.
Wikiendi imeanza.
Kiuhalisia ninaweza kuonekana mjinga ila ninakuja na mada hii.
Karibu kwa kubishana leo Tubishane mpaka Tuchoke.
Ila Tusitukanane
Kwema jamani?
Kuna tabia ninayo na naona kabisa imekua kama addiction yangu.kwa kifupi napenda sana kupiga chabo watu wakiwa faragha,yani huwa nafurahia kuwachungulia watu wakiwa...
Habarini wakuu, naamini tunaendelea vizuri katika harakati za kujenga taifa, niseme kazi iendelee.
Baada ya kutimiza malengo yangu ya mwaka huu ndani ya robo tatu muhula wa mwaka (kuanzia mwezi...
Jamani tutafuteni pesa kwa bidii tuache kuendekeza chuki na wivu kwa wenzetu waliofanikiwa.
Mwenzio yupo tu sawa anakula nyama kavu bila ugali afu wewe unahisi Kama jamaa anaharibu mboga 😂
[emoji38][emoji38]kama wewe hauna mke harafu ume panga nyumba zisizo na dari (cellingboard) daah hivi usiku hua mnalalaje?
Kuna jamaa Alikua na mke ila yeye Alikua akipiga viwili chali ana tulia...
Mchana wa leo nimefungulia Radio moja ya dini ili nipate kula neno kwa kuwa nilikuwa sijala chochote kitu kabisa kutokana na hali ngumu ya kimaisha
Ghafla nikaskia," fulani bin fulani aliahidi...
Virgin: 10 marks
Single: 10 marks
Vegetarian: 10 marks
Never drunk: 10 marks
Never kissed: 10 marks
Never hugged: 10 marks
Never smoked: 10 marks.
My score: 30 marks.
Wakuu poleni na majukumu! Ni mimi kijana wenu humu jamiiforums, kama mnavyojua now baadhi ya vijana kama mimi ndio tumemaliza chuo tumerudi mtaani japo harakati huku mtaani hazisomeki.
Bila...
Kuna mafundi nguo wazuri na wazinguzi. Kila mmoja huenda ana jambo lake linalomfanya kamwe asimsahau fundi nguo fulani labda kwa uzuri au ubaya.
Share with us kilichojiri kwenye comments...
Jamaa mmoja alienda kupima na akagundulika ana kansa ya ubongo!
Jamaa alisikitika sana, mwishowe kamwambia Doctor, Doctor basi ondoa ubongo!
Doctor Akashangaa, akamwambia! Utakufa maana hakuna...
Wakuu, za siku nyingi?
Ebana nilikua busy na kautafiti kanakohusu mikoa ya Tanzania
yenye makabila yenye wanawake wavumiivu katika ndoa na haya ndio matokeo ya kautafiti kangu.
1. Iringa
2...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.