Herj ya kumbukumbu ya kuzaliwa.
Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Taifa unakutakia heri katika siku yako ya kuzaliwa Ndugu Ali Rajabu Issa.
Katibu wa Idara ya Uchumi na Fedha UVCCM Taifa...
1. Mwanaume ukishakua na gari bhaasi umemaliza kazi.
2. Utawagonga warembo mpaka uchoke.
3. Ulikosa gari hata kama Una bilioni au Una nyumba utaishia kupiga nyetto
Kilimo ni kweli kina kipato kikubwa pia ni uti wa mgongo wa taifa lakini kilimo narudia kilimo kina vitimbi vingi kwa ground.
Ukifika mashambani kunatisha mno wivu, chuki fitina na imani za ajabu...
➡️Habari zenu wakuu
Nafahamu kwenye pitapita zako umeshawahi kukutana na hawa jamaa
➡️Ipo hivi jamaa walianzia life huko interior kazi kubwa ikiwa ufugaji yaani kuuza mifugo na mazao yatokanayo...
Mungu fundi bhana.. Tumbo lingekuwa na kioo tungeona mengi 😁viazi, magimbi vitumbua n.k ila akajua akili zetu na tabia zetu. Ule baga au magimbi wote tunaishi.. unyama sana yaani.
[ ]...
Ni hatari kweli kweli, watu wanamfata lecturer niongeze hata alama 1 tu lecturer nae anakuja kama wewe umezikosa mimi nitazitoa wapi?
Maombi yenu yanahitajika sana kwa hawa ndugu zetu.
Hili kosa la kutuma sms kimakosa nahakikisha sitalirudia tena.
Nakumbuka niliwahi kumtumia mama yangu mzazi sms ambayo ilikuwa inatakiwa iende kwa demu fulani hivi [emoji23], bahati mbaya ikaenda...
Naishukuru sana hali ya hewa ya baridi kwasababu wewe ndiye sababu ya mimi kutungwa mimba, pengine isingekuwa baridi labda wazazi wangu wasingelitafuta joto.
Wengi jambo hili litawachekesha...
Asili kamili ya watu wa RUSSIA ni Afrika ya Kusini hasa zile Jamii za wawindaji ixhosa.
Neno Russia ni muunganiko wa maneno mawili.
1.Ru uxembana ndaba na ezolo -- Uruuu.
2.Ishiya.
Ru (Uru ) +...
nimekuwa nikisikia sikia watu wanasema jukwaa la wakubwa..jukwaa la wakubwa...sasa mimi nimekuwa nikizurura kwenye vichochoro vyote vya jf sijaliona...liko wapi hili jukwaa...au ni jukwaa...
Feni, AC, zimepumzika leo malaika aliyeshika zamu siku ya leo kaupiga mwingi, apewe maua yake. Tunaomba na weekend moja mshika zamu atumwagilie moyo na kijibaridi kama hiki.
Kizuri sana kwa...
#1. adriz
Anasali kila siku, anatoa Sadaka, anaimba kwaya, ana maisha ya juu (Tajiri) husoma neno Kanisani, ana maringo (majipu), dharau anazimiliki yeye, mpenda majungu, Mfitini tukuka na...
Am in hurry, so let's get straight to the point. Ndugu zangu waTz wenzangu tuna ujinga wa hali ya juu sana, yan sijui ndo kufuatilia mambo hatuna au ndo vile elimu yetu mbovu kabisa, mfano...
Najua wewe mwanajamii mwenzangu ushawahi kusimuliwa ama kusikia kuhusu fedha hizo, au mtu mwenye nazo, au uko nazo basi huu ni uzi wa kushare nasi visa hivyo.
Mimi niliwahi kusikia tajiri mmoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.