JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wakuu hali zenu, Nimechanganyikiwa kidogo baada ya mfululizo wa matangazo ya magodoro. Je, lipi ni bora zaidi? Nataka nitafute 6x4, sasa sijui lipi litanifanya niote vizuri. Shukrani
0 Reactions
189 Replies
70K Views
Hivi ile tabia ya vijana kupisha wazee siti kwenye vyombo vya usafiri huko kwenu bado ipo?
2 Reactions
32 Replies
1K Views
Salaam wakuu, naamini kila mmoja ana watu ambao wamekuwa wakimpa kampani au kuichangamsha siku yake hapa JF Kiasi cha kutengeneza muunganiko baina yenu, kama team ya mpira au jeshi. Ambapo...
10 Reactions
83 Replies
3K Views
Leo katika pitapita yangu nimeona Mtanganyika mwenzetu kavaa Tshirt imeandikwa "Tunatangazwa bure Burj Khalifa", nikashindwa hata kupiga picha, hata kumpata kwa haraka sababu nilikuwa nadrive na...
1 Reactions
0 Replies
536 Views
Leo natamani kusikia kutoka kwenu wadada, kuna mambo ambayo sisi wanaume tuna yafanya na yamekuwa kero sana kwenu ila mnashindwa kutuambia. Leo tupo hapa kusikiliza vitu ambavyo huwa tuna wakera...
9 Reactions
306 Replies
14K Views
"Daima Mbwele Nyuma Mbwiko" Kudadadeki zenu Waajentina Wote.
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Huyu mdau nini kimempata ndani ya majuma mawili sasa hapatikani au na yeye kalambishwa asali!
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Leo nimevaa Gongoti nitanazungukaa mitaa kadhaa ya Dsm, kama ukiona gongoti Leo ujue ni Mimi big thinker najaribu kupima uwezo wangu wa Miaka 15 iliyopita. Nimevaa miwani ya rangi ya njano. Nyuma...
0 Reactions
1 Replies
223 Views
Niaje mdau unayesoma huu uzi, kama kichwa cha habari kinavyosema unahisi watoto wetu watatumia maneno gani kama misemo iliyosemwa na watu tuliopo kizazi hiki. Weka comment yako chini mtu wangu...
2 Reactions
49 Replies
2K Views
1:Demiss Huyu atakuwa na Chura flani hivi amaizing imebinuka kwa juu ambayo mtoto wa kiume ukiingia kichwa kichwa lazima uliwe hapo maana huwezi kuchomoka, Nafikiri wanateseka sana wale...
11 Reactions
911 Replies
45K Views
Kama unakumbuka kukojoa kitandani ni kashikashi zipi ulipata by that time..mimi nakumbuka nilikuwa napigwa na kuambiwa nitoe matandiko huko nikila fimbo! Raha niliyokuwa naipata nipale niliota...
29 Reactions
367 Replies
28K Views
Wanaume tulipaogopa muhimbili sana kutokupima magonjwa. Idadi ya wanaume imeongezeka muhimbili kila kukicha. Ni muda sasa wa kuwaleza wale madaktari wa sudani chimbuko lao lilitokea temeke sudani.
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimekuwa nikifuatilia habari za kupotea kwa submarine inayomilikiwa na OceanGate iliyokuwa ikifanya safari yake katikati mwa bahari ya Atlantic kuelekea chini kabisa kwenye kina kirefu kutazama...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Sa huyu mrembo wa Kitanzania anatofauti gani na hao Wasudani yaani bongo vitu vya kipuuzi ndo vinazungumzwa.
3 Reactions
74 Replies
6K Views
Mtu mjinga ni yule anayenyang'anywa mali huku akicheka pasipo kujiuliza kwanini amenyang'anywa. Mtu mjinga anamiliki mali nyingi lakini anaruhusu mali hizo kuharibiwa na maadui na hata...
1 Reactions
0 Replies
280 Views
Wahenga walisema, kua uyaone. Humu jamvini hutangazwa ndoa baina ya flani na flani, lakini kumbe huwa ni ndoa za jinsia moja bila ya wenyewe kujijua. Makubwa!!!! Yaani kumbe Evelyn Salt ni DUME!!!!!!!
6 Reactions
112 Replies
6K Views
Wakuu naulizia lodge nzur kwa Bei ya shilingi kuanzia 15000-30000 maeneo ya Tandika, Sudani, Hospital, Pire, Temeke Mwisho, Mtongani, Kwa Azizi Ally anaefahamu nzuri anambie
1 Reactions
29 Replies
5K Views
Leo nimekumbuka baadhi ya incidents zimenifanya nicheke sanaaaaa baada ya sista duu mmoja kujamba akiwa usingizini tukiwa kwenye foleni ofisi Fulani Nivyonunua kiredio changu mara ya kwanza miaka...
1 Reactions
36 Replies
9K Views
Wanaofanikiwa duniani sio wenye akili na nia pekee, wenzio wana miungu yao. Wewe una Mungu gani? Kusini unaweza ukawa na juhudi ila ukaishia kufanikisha wenzio ambao hawaangalii. Kuna uchawi wa...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
BIla kupoteza muda niende Moja Moja kwenye mada. Hawa wanawake wenye nyash walahi wanaweza wakakuacha Unatokwa udenda.Alafu asiwe na kitambi sasa unaweza ukahisi unatembea peponi kumbe upo...
7 Reactions
69 Replies
7K Views
Back
Top Bottom