1. Kuanguka kwenye uzinzi na uashareti na wanawake wa ovyo na kupelekea kupata mikosi ya kila namna.
2. Kupata kesi za mimba na watoto usiowatarajia kutoka kwa wanawake unaolala nao.
3. Kwenda...
Nataka kuacha pombe kwa miezi sita, mwili wangu umeanza kuchoka lakini pia nataka kufanya saving kidogo, nataka ninywe Christmas 2023. Nipeni mbinu nifanikiwe.
Hili ni tangazo la kuacha pombe...
Jambo Jambo?
Yani unakuta mwanaume ana midevu, mwili mkubwa ila Mke wake kamwambia USITOKE anamtii mke wake na anatetemeka kabisa.
Watu sasa hvi tuko vyombo.
Wanaume Tunaojitambua tuko bar...
Nitakuwa hapo kuanzia kesho kwa wiki mbili, wenyeji naomba mnijuze hoteli au lodge nzuri ya kufikia, bei usizidi elfu sabini, pub nzuri ambayo ina utulivu, maeneo ya kutembelea yenye utulivu na...
Hello great thinkers
Niliamua kujipa likizo isiyo na malipo kutotumia mtandao wowote wa kijamii na haya ni baadhi ya mambo niliyogundua kwa upande wangu
1. Urafiki unaotengenezwa kwenye mitandao...
Msaada wanaJF,
Utani weka pembeni,
Nimemc Nyimbo Laini za Kimapenzi hadi nimezisahau.
Naomba mnikumbushe baadhi ya nyimbo zenye hisia za kimahaba nisikilize nijisikie kama nipo Paradise wakuu...
Jamani wale wote ambao tumewahi kuchunga wakati tukiwa wadogo kabla hatuja anza shule na hata baada ya kuanza shule yaani ukirudi shule unachunga na zile siku za wikiendi basi wewe ni kwenda...
To you shouzz Antonnia
May you
treasure your birthday as the bright beginning of a wonderful year
and may you always know how special you are.
May your special day
Surrounded wid Happiness...
Nchi ikiwa na mchanganyiko hupendeza sana, ndio maana ukifika Marekani unakutana na kila MMEA WA BINADAMU, yaani unakutana na mtu anatisha balaa, mwingine wa kawaida, mwingine mzuri balaa, halafa...
Yaani unakuta mtu ni masikini sana. Anaogopa sana ushirikina ila ni mzinzi, anakufa anaenda motoni.
Mtu mshirikina mzuri tu, anapesa ndefu tu mzinzi mzuri tu, anakufa anaenda motoni.
Fanya hivi...
Wakuu umofia kwenu?
Natafuta pub au sehemu yoyote kama bar iliyojificha ficha maeneo ya Dodoma. Nataka niende na mtoto sasa sipendi sehemu yenye watu wengi.
Hello.
Ikiwa Leo ni siku ya HAPPY FATHER DAY.
Niambie kitu gani mzazi wako amewahi kukufanyia haujawahi kukisahau maishani mwako hadi Leo.
Ukikumbuka unatambua upendo wake hadi Leo.
1. Baba Dulla kanitesa kweli na hii Mimba.
2. Najuta kumbebea Mimba Mwanaume wangu mwenye ngumu.
3. Utamu wa dakika chache Unanitesa sasa.
4. Sizai tena labda anibake.
5. Yaani huyu Bwege...
Kama ilivyo kwa wanaume wengi hata mimi pia nimetokea kupenda nyimbo za zuchu na kuziacha siwezi. mimi kunikuta naimba KWIKWI ni jambo la kawaida
[emoji16][emoji16][emoji16]
Njia gani nitumie...
Usiache kufurahi leo. Leo ndiyo yote tuliyo nayo. Kesho ni ahadi.
Kama wimbo unavyoenda... "Jana imepita, na kesho inaweza isiwe yako."
Maandiko pia yanasema, "Furahini katika Bwana SIKU ZOTE"...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.