JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Ikiwa ni siku ya tarehe 18 ya mwezi wa sita, soku adhimu sana, siku ambayo kila mwaka dunia hiadhimisha siku ya kjnq baba kwa kutanbua mchango wao katika ngazi mbalimbali kuanzia ngazi ya familia...
0 Reactions
8 Replies
566 Views
Sasa naomba members wote msipite hivi hivi bila kulike hii thread Wee gonga to like then endelea na mambo yako,usijiulize sababu ya wewe kulike ila wewe fanya tu kulike Huu uzi " Uzi maalum wa...
15 Reactions
25 Replies
5K Views
Sasa tuna Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Huko Mbele tusichoweza kukodisha ni Daladala tu😀😀 So tutabaki na Waziri wa Daladala Kamati ya Bunge ya Miundombinu itakuwa inakwenda kukagua Daladala...
0 Reactions
6 Replies
684 Views
Juzi nilikuwa nimekaa na mdogo wangu huyu dogo ni binamu yangu. Ni dogo ambae tumesaidiana sana toka wadogo na nimemlea pia maana yeye ni 2003 uko na mzidi sana. Issue iko hivi dogo ana niheshimu...
8 Reactions
63 Replies
2K Views
Tukumbushane maneno uliyowah kuyaona kwenye gari au daladala....bodaboda
0 Reactions
18 Replies
16K Views
Wananzengo wenzangu, sina hata 100, ila nimeipenda nyumba moja Salasala, je niombe dua gani niweze kuinunua? Nimeikagua ina mita za mraba 1600, bei ni millions 150, Ina bwawa la kuogelea, pia...
7 Reactions
147 Replies
6K Views
Tuliyokulia miaka ya Disco na breakdance miaa ya 80, tukumbushane tafadhali.
0 Reactions
3 Replies
702 Views
Habari na pole na majukumu ya kila siku. Najua hakuna aliyewahi kukuambia na kama yupo Mimi nakuwa wa ziada kukuambia leo kwamba "NAJIVUNIA WEWE" Pengine maisha yanakupitisha katika vipindi...
5 Reactions
7 Replies
1K Views
Eti akili kubwa
1 Reactions
3 Replies
1K Views
We kijana uliyesoma soma huko, kuna sera mpya inakuja haiwezekani ule milo mitatu hivi hivi wakati huna kazi yoyote unayofanya hapo nyumbani Halafu ukute anayekulisha amekubali kuteseka na kazi...
3 Reactions
11 Replies
702 Views
Wanywaji hili mnalifahamu vizuri kuwa pombe hainaga majina mabaya, majina yake ni mazuri mfano; Common, Washington, Kiboko, Mamba. Sasa na wewe kama unafahamu majina mazuri yanayosumbua huko baa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Nashukuru sana nyumbani kwao Shemeji yangu wamenikubali wanasema mimi Jembe. Ile tarehe 22 usiku niliona home wana heka heka sana. Wanapanga nguo, wakawa wananituma vitu kununua n.k Kumbe...
8 Reactions
16 Replies
1K Views
WAHUSIKA Gerbet == Gily Mkuu wa kituo == mshamba_hachekwi Muuza mahindi == Analyse Wahusika wengine watakuja mbeleni KIJIJI CHA WAKAMOTO: Kijana msomi Gerbet anamaliza masomo yake ya...
6 Reactions
350 Replies
8K Views
Kwakweli mimi sio muombaji kifupi nimekata tamaa kabisa kwenda kwenye maombi ya aina yoyote kwasababu sioni matokeo ya wanao omba. Matokeo yangekuwa ya kweli wala sina mengi ya kuomba zaidi ya...
0 Reactions
56 Replies
2K Views
Asalaam alyeikum ndugu wana jamii ya jamiiforum..? Awali ya yote poleni kwa maswahibu mnayopata sehemu mbalimbali na wale mnaokula raha shikilieni hapohapo. Mwenzenu juzi kati...
12 Reactions
23 Replies
2K Views
Wish yah all the best young bro Mwachiluwi, imeisha hiyoo!
8 Reactions
57 Replies
1K Views
Nimekubali wazaz hawaachani enyi vijana tusijidanganye tukaoa single mama --- Huyu ni mlinzi wa klabu ya Real Madrid, Eder Militao akiwa na mpenzi wake wa zamani, Karoline wakifurahia...
7 Reactions
45 Replies
3K Views
Aliyekamilika Hakuwepo,mkamilifu,duniani Sie sote,wadhaifu,mafichoni Haudumu ,unadhifu Ni maisha, ni maumbile Na hakuna, duniani Mkamilifu Abuuabdillah [emoji3578][emoji1241]
1 Reactions
0 Replies
224 Views
Kwamba alikua anatingisha kiberiti au?
4 Reactions
13 Replies
921 Views
Leo nakumbuka siku yangu ya kuzaliwa nashukuru ni mzima wa afya maana katika familia yetu watu wanakufa kabla ya tarehe ya siku ya ya kuzqliwa kabla ya siku tatu au mbili na mimi pia wiki ilio...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Back
Top Bottom