Heri ya mfanano wa siku ya kuzaliwa kwangu mimi that manzi ila daah 30 ile naichungulia pale
Nikiwaza sina A wala b sitamani hata kuongezeka umri
Anyways happy birthday to me[emoji4][emoji4]
#### Wanaume katika jamvi tutafute hela aisee
week iliyopita nilimtext mpenzi wangu "mambo"
aisee nimekuja kujibiwa leo hii tena sasa hivi af tena ety "P"
nikaja kugundua labda hatuna helaa mpaka...
[emoji23][emoji23] ukiwa tajiri hauitaji Chuo.. we nenda pale Gymkhana lipia wanakupa na MTU wa kubeba mabegi na vile vidungu.[emoji23][emoji23]
Muda WA kuvaa glove mkono mmoja huu
Unapiga mipira...
MDOGO WAKO:Kaka naomba 600,000/= Kwa ajiri ya ada . Walisema nisipolipa hawatanipokea kabisa.
BABA MWENYE NYUMBA:Missed Calls 83 na Ujumbe: Leo nakupatia Nafasi ya Mwisho
BINTI WA JIRANI...
Hi
Mwanza ni jiji nzuri sana na lina muongiliano mkubwa wa watu kwa maana ya watu kutoka mikoa tofauti iko pale lakini watu wake bado wana ushamba sana licha ya kuwa na muingiliano mkubwa kwanini...
Ndani ya mwezi huu wa sita, nimekutana na document mbili.
1. Transcript ya mwanafunzi wa UDSM, ni copy na inaonekana labda alituma mahali kuomba kazi, amemaliza mwaka 2022, chaajabu imegengenezewa...
Nimekuwa mfatiliaji mzuri wa hili sakata la bandari, nimewasikiliza wanaopinga na wanaounga mkono swala hili, bila KUEGEMEA upande wowote nimekuja na haya yafuatayo;
1)Huu msuguano wa bandari...
Nashukuru sana members wengi wameonekana kupenda jinsi ninavyotoa mchango wa busara, hekima, upendo na akili ya kiwango cha juu humi JF.
Watu kadhaa wanasema nimeokoa maisha yao kipindi ambacho...
Katika kumalizia weeknd leo mapema sana nimeingia kidimbwi beach kurefresh kujiandaa na mikiki ya kesho. Kadiri muda unavokwenda pisi zinaingia ni hatari pisi kali sana, hivi hzii pisi zinakuwaga...
Zinaa Inaua
Zinaa inaleta Magonjwa
Zinaa inaleta Mikosi
Zinaa inaleta Nuksi
Zinaa Inakutenga mbali na Mungu
IKATAE ZINAA INAUA,ZINAA NI UHALIFU WA KIROHO
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.