Wakuu, salute kwenu.
Kwanza Nina swali: ni kweli beer zinakufanya unenepe?
Pili; tushauriane Pombe salama aina ya spirit ambazo haziumizi sana kichwa au maini.
Mimi nimechoka kunywa beer na...
Wakuu kwema?
Mada inajieleza kabisa hapo. Leo ni tuwape Mods wa JF pamoja na Muanzilishi wa JF, kioo cha wengi Bwana Maxence Melo maua yao. Sema jinsi Mods na Melo wanavyosaida siku yako iwe...
Kuiita "Pesa" hela ni kuikosea adabu.
Ulishindwa kuiita pesa iite basi fedha, acha kuiita hela. Maana itakukimbia siku zote na hata ukipata utaipata kiduuuuchu!
Wewe watazame matajiri...
Hey
Hakuna watu wanakera kama hawa mtu anapoomba hela anasumbua sana simu azikauki lakini akishapa iyo hela umemtumia hajibu sms kama amepata yaani ulie tuma umpigie umuulize umepata kumpigia...
Nawasalimu katika jina la DP World (chagua muitikio; mkataba uendelee au usiendelee)
Katika maisha huwa tunafanya maamuzi kadha wa kadha kwa sababu zinazoelezeka na kueleweka. Lakini kumbe zipo...
Mimi binafsi si msambaa Ila hawa jamaa wakiongeaga lugha yao Huwa naenjoy sana hususani zile lafudhi zao kama vile hela wanaita hea, nyumbani wanaita nyumbai.
Kabila lingine ni wamakonde...
Moja kwa moja..
Huu mtindo umeshamiri haswa kwa vijana unakuta mtu ameanza kukutext au wewe umeanza kumsalimia baada ya kujibu text yake inayofuata "nipange "au "niambie" mimi mara nyingi hapo...
1 Tim 4:12 SUV
Mtu awaye yote asiudharau ujana wako, bali uwe kielelezo kwao waaminio, katika usemi na mwenendo, na katika upendo na imani na usafi.
Lk 2:52 SUV
Naye Yesu akazidi kuendelea katika...
Elewa kwanza upendo ni nini
Elewa kwanza akili ni nin
Elewa kwanza ndoa ni ni
Eewa kwanza mapenzi ni nini
Elewa kwanza mwanaume ni nani
Elewa kwanza mwanamke ni nani
Elewa kwanza uchumii ni nini...
1. Tunaulizwa kama tunaumwa.
2. Tunaulizwa kama tuna uhaba wa pesa.
3. Tunaulizwa kama tuna stress za maisha plus mapenzi.
4. Tunaulizwa kama tunakula.
Hakuna kitu nisichokipenda kama nikipanda daladala, boda au bajaji especially when kuna foleni na unataka kuwahi wao wanaingia sheri kujaza mafuta.
Hivi wanashindwa kuweka full tank na kujaza...
Hello.
Wana chitcharts ni nani alikuja katika maisha yako ukiwa na uhitaji mkubwa wa jambo alikusaidia kwa asilimia kubwa na Akaenda Hakurudi tena au haukuwahi kuendelea kuwasiliana nae.
Kuna...
Wakuu mpaka Leo huwa najiuliza Shunie alienda wapi loo!! Huyu mtu tulipendana Sana humu JF
Enzi hizo ndiyo alikuwa bae wangu humu kila Uzi lazima atupie comment kipindi hicho humu JF kulikuwa na...
Hahahahahahahahahahaha....... Salamu wakuu katika jukwaa .ujue katika maisha kuna watu wanakera sana yaani wanakupa lawama bure wakati hawajui jitihada zako
from no where mtu humjui hakujui (japo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.