Inakuaje mtu unafungulia muziki au mahubiri kwenye gari ya daladalatena kwa sauti kubwa.
Kwani nani kasema anataka kusikiliza unachosikiliza si ununue Earphone.
Wanawae wanautani sana mfano
Mtu na wifi yake unakuta wanaitana mume wangu au mke wangu
Ila mwanaume kukuta wanataniana mke wangu au mume wangu na shemeji yake ngumu sana
Wanawake anaweza...
Wazee wanasema, "Ukikosa mtu wa kukupinga kuna hatari ya kuwa mbaya." Mti unaota bila mpango unaweza ukawa dhaifu kwasababu ya matawi mengi! Ni vizuri kukubali kukosolewa! Wala usitengeneze uadui...
Siku moja nilikwenda Gairo kununua mahindi.Kwa kuwa ulikuwa ni msimu wa mavuno nilikosa nafasi katika nyumba za wageni ila nilibahatika kukaribishwa na mwenyeji mmoja nyumbani kwake nijipumzishe...
Mniambie kwa kina nisije kuwa nimepigwa na kitu kizito. Ni kweli kuna nchi ina majengo marefu kiasi kwamba yapite usawa wa Mawingu😅😅
Kuna watu wanamchokoza Mungu, tusije letewa yale yale ya mnara...
Kama kuna kitu unataka kununua kwa matumizi ya kesho na unaishi kwenye maeneo tajwa hapo juu, tafadhali nunua leo.
Pia wanaopanga kwenda kanisani nivema mkaabudu majumbani. Kuna hatari...
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!.
Aisee leo nikasema imefika wakati sasa niwe na akaunti huko X au zamani kama "Twitter".
Nilipanga nitumie jina langu la UMUGHAKA lakini baada ya kutaipu...
Nilikua nadhani ni uongo na mambo aya ayapo. Ila asubuhi nimeingia na bado nipo ndani ya mwili wamke wangu pasipo yeye kujijua. Simu hii anayotype jf nj yake ila ameingia kwenye acc yangu na...
Hawa dada zetu wakifika miaka ya 30 utaskia wakisema mimi nahitaji wakunioa sio kuchezea mwili wangu, ili uingie kingi mfunge harusi upoteze gharama za mahari halafu mwisho wa siku unafunua...
Wakuu tujuzane na kuhabarishana hapa maajabu ya wanyama mbalimbali.
Kwanini nyoka ana ndimi mbili? Nyoka na wanyama kama kenge huwa na ndimi zilizogawanyika. Ndimi zile huwasaidia kujua lindo...
Mkuje sasa tupige soga mnaleta vurugu sana kwenye madarasa ya watu nimeamua kufungua darasa hapa.
Cc.Shunie
Cc.Carba
Cc.Sakayo
Cc.Emmyta
Cc.Ukhuty
Cc.Numbisa
Cc.Youngblood
Cc.Sergio5
Cc.Baily...