Ndugu marais hamjambo (kwa lafudhi ya kihaya), naona wengi wenu mnashida sana, mfano we Trump hutulii kabisa, nimeamua kukupa msaada wa dhahabu tani 1 bure, Tanzania ni Tajiri hatuna njaa.
Halafu...
Hayo sio maneno yangu, bali ni maneno ya Vodacom Mpesa, wakinijulisha kuhusu muamala nilio ufanya asubuhi ya leo.
Miaka kadhaa iliyo pita hela hii ningeiweka kwenye akaunti ya Mr. Muggetta in the...
Tuseme ukweli, walevi wana kipaji cha hali ya juu cha ubunifu. Wakati sisi wengine tunahangaika kutafuta sababu za maana za kufanya maamuzi maishani, wao hawana muda wa mawazo magumuโmaisha ni...
Habari wakuu Leo nmemkuta mdada dukani anaongea na simu nikashtuka mno
Huwa simuamini anavaa bangili za kiganga nyeusi mkono wa kushoto hujitanda shungi
Leo jioni naenda kununua kitu dukani kwa...
Jamani, humu JF mie nafurahishwa na mambo mengi. As we are approaching weekend hebu pitia some of ID's! Yaani Loh!
Angalia hizi wehoodie, giLESi, @St Paka Mweusi (yaani Mtakatifu Paka Mweusi?)...
Habari za majukumu,
Pamoja na mada nzuri na taarifa mbalimbali zinazotolewa hapa JF, wakati mwingine najikuta nacheka mwenyewe kwa baadhi ya ID/Username zanazotumiwa na baadhi ya members.
Japo...
Jana jioni nilikuwa napitia makabrasha yangu, nikakutana fomu moja ya mahudhurio ambayo ilinikumbusha na kunirudisha nyuma kidogo mwaka 2018. Baada ya kuvuta kumbukumbu nikaishia kutabasamu tu...
Je Unaikumbuka Jamboforum?
Leo Kwenye Kufukunyua Makabuli kwenye Picha Zangu Nimekumbana na Picha Ya Mojawapo Ya Kurasa za JamboForum enzi Hizo Ambayo Kwa sasa ni Jamiiforum..
Ama Kweli Tumetoka...
Jamani wapendwa nasumbuka usiku na mchana, mimi (naishi ulaya lakini mkenya) kuna kitabu moja nilinunua (amozon.com) nikafanya ilivyo andikwa, sio kitabu kibaya (nitapost mkione) lakini yanayo...
Wakuu, kwa sie tuliopitia kwenye kupanga nyumba ambazo kwenye eneo ni zaidi ya tatu, na unakuta wapangaji ni bachela, basi huwa kuna vitabia fulani haviwezi kukosa baina yetu.
Kuna sehemu...
C&P
Frank: Nesto Kwa Nini Mwanamke Yule Ananitazama Hivi?
Nesto:mwanamke Yupi?
Frank:yule Pale Kavaa Gauni Ya Bluu.
Nestor:usimtazame Kamwe achana nae.
Baada Ya Dakika Chache Frank Akasema...