Mbu kiswaswadu
Huyu ni mbu msumbufu sana mara nyingi huwa hawahangaiki saaaana na damu ila wao ni kukukera tuu,yaani anakuja kama amekosea njia hivi atakupiga kumbo huku sikioni au puani alafu...
Hello habari,
Nimeona niadhishe hii thread kwasababu watu wengine siku zao zinakuwa mbaya wanakwazika lakini hawana watu wakuwapa pole hawana watu wakuwafariji au ata kuwapa ongera kwa hatua...
Nakumbuka nilipotea hapa jukwaani kama miezi tisa hivi,basi nikiwa huko nilikokuwa nikawa nasoma tu nyuzi za wanajamiiforums, kupitia simu ya mwana,kila nyuzi ninazosoma kwa muda wote huo,hakuna...
Binafsi hakuna ujumbe nauchukia kama ule wa "Ndugu mteja, umetumia 75% ya kifurushi chako". Huu ujumbe huwa unanikata sana yani.
Je, wewe ni ujumbe gani huwa unakukera kutoka kwenye hii mitandao...
Habari wanajamii....
Natumai wote ni buheri wa afya njema sana...
Nielekee kwenye hoja halisi moja kwa moja...Leo nimefunguliwa kutokana na adhabu niliyopewa hapo majuzijuzi na mods baada ya...
Wadau kuna binti nakaribia kumchumbia, tatizo naskia skendo skendo sana kuhusu tabia zake kuwa ana wanaume kibao. Sasa nawaza nimchunguze kujua kama ni kweli ama nimchumbie tum
Habari wana Jamii Forums,
Nilikulia na kulelewa na bibi yangu mzaa mama, hapo wengi watdhani ni mtoto wa nje!
Nilikuwa mjukuu wa kwanza kwao, tena jembe! Alinufundisha mengi sana na ndio...
Wengine tumetoka vijijini kuja mjini tunajua nini tumefata ,tumekuja kupambana tuokoe familia zetu ,zikae sawaa usisahau kilicho kuleta mjini
enline_g✅
Wanaume katika mahusiano huwa hatukui, sisi huwa ni watoto wadogo, na tunategemea wanawake walijue hilo.
Mnapokuwa kwenye mahusiano na sisi, jitahidini mtulee kama watoto wadogo; ndio maana kabla...
Leo mida ya jioni hii kuna sehemu nilikaa napiga story na jamaa yangu kuna madogo kama wawili walikuja kwa huyu jamaa yangu yeye ni mfanyabiashara wa Simu walikuwa wanataka simu Kali kama ya...
Pasco, saa hizi hizi nilikuwa nasikiliza kipindi chako cha nane-nane kwenye TBC na nilicheka ulipokuwa kwenye banda la kufugia kuku la VETA, nilicheka ulipokazania kumuonea huruma kuku kuwa sasa...
Yaani kila nikiwaza mimi na haya mazungumbaru yangu najiona moja kwa moja motoni tu, vipi wewe jirani utakuwa upande upi Peponi au ndio tutasindikizana motoni kuwa kuni za milele?
Hahah kwanza ni kitambo kipindi hiko nina kasimu kadogo kwenye batani na browser ya operamini (itel) huduma ya freebasic ilikuwepo Airtel hivyo JF niliipata bure kabisa. Niliisoma hii story for...
1. Mshana Jr huyu jamaa alipoambiwa yeye ni expert wa uchawi basi akaanza kuamini kila sehemu ni expert hata kwenye mambo ya akili. Hapo ndo akaanza kuharibu sana. Maana kuna mambo mengine...
Wakuu hope mpo poa,
Hii ni thd ya kujifurahisha tu "Jokes"
Tunge sentensi kwa kutumia neno Simu ilikua kwa fundi,
Naanza na hii,
Hongereni sana mashabiki wa Argentina kwa kutwaa kombe la...
Guys i'm so happy today, unajua nini miaka niliyokua naombea kila siku niifikie hatimaye nimefika.....yeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeep!
Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.