Jamani jinsia hii ya ke ina mambo mazito mno, mtu tunajuana kwa sura tu na kwa bahati nzuri nimeinyaka namba yake hukoooo (.....mbali).
Tuna chat vizuri na convo inaendelea vizuri ila baada ya...
Role model ni mtu ambaye ni kioo au kiigizo cha wengine especially lifestyle na career.
Mi role model wangu ni Sadio Mane na Mack Zuckerberg kwa sababu hii miamba iko very humble na...
Nimetoka Rwanda leo, nimerudi Tanzania, jamani Rwanda kuna wanawake kuna wadada wazuri aisee, nilienda kikazi ila nitafanya mpango niende kustarehe. Nile bata huko, huku Tanzania hamna wadada...
Karibuni tushirikishane aina mbalimbali za Keyboards tunazozipenda kuzitumia kwenye Simu zetu.
Mimi napendelea kutumia Keyboard tajwa hapo juu,
Ninaipenda kutokana na sifa kadhaa iliyonayo...
Ni Mizigo ambayo Serikali ya Algeria imesema inaihifadhi kwa muda kuanzia Jana Alhamisi hadi Kesho Jumamosi Saa 6 ya Usiku tu na tusipoenda Kuichukua yenyewe itachukua hatua ya Kuiteketeza...
Niaje niaje,
Wadau tukumbushane enzi hizo na matukio yetu ambayo ukiwaza sasa hivi unajiona mshamba fulani hivi.
~ Nakumbuka nilitoa hela ndefu ili niungwe Facebook, nikiwaza nataman niende...
Pamoja na kaajira kangu ka kubangaiza mimi pia ni dereva bajaji huwa nikichomoka kwenda job asubuhi lazima niitumie bajaji kukusanya watu kituoni na kuelekea nao posta na nikirudi pia hivyo hivyo...
Na mpaka muda huu GENTAMYCINE naandika hapa Wamefanikiwa Kushusha Mabegi Sita yenye Hirizi, Nazi, Mkojo wa Kenge, Sikio la Kicheche, Kende za Fisi na Mayai Viza ila Begi Moja limekataa Kutolewa...
Habarini nyote!
Ni jioni tulivu, nimetafakari sana nyuzi za vijana humu wakifunguka ya moyoni kwa 'crushes' wao wa kimapenzi. Upendo ni kama sumaku na ni kama bahari ukizama umezama.
Ilikuwa ni...
Hahaha enzi za ujana wangu niluenda mtembelea bibi huko Tanga, Alikua anamiti ya ugoro na tumbaku + ule ugoro wa kununua
Nilikuwa na gonga nae pasu pasu alinipenda sana soon nitaenda kumuona tena...
Basi bhana, mida ya saa tano za usiku nikawa navutana na jimama lenye manyonyo makubwa sana nisiyoyamudu, ile kukataa lenyewe linalazimisha. Kwa bahati nzuri nikalishinda, ile kufika mbele...
Jambo jambo?
Haya kama uko karibu chapu chapu uje tujumuike.
Haiwezekani Bar nzima anayetumia JF niwe peke yangu aiseee.
Uwe mwanamke uwe mwanaume Sijali mradi Gambe zitembeee
Kama unavuta...
Inakuwaje WanaJamiiForums
Binafsi huwa najisahau sana kubeba akiba nikiwa matembezi kitaa, mpaka kuna mda najiuliza hivi ndo ile nipo road mara paap! Nimeipush sahani ya maandaz bahati nzuri Mama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.