Je, kitambi chako ni kipi? Kuna kutambi kinachosababishwa na pombe, bila kujalisha ni mataputapu au bia.
Kuna kitambi kinachosababishwa na msongo wa mawazo. Na pia kuna vitambi vyasababishwa na...
Wakuu poleni na miangaiko ya hapa na pale katika kutafuta riziki za hapa na pale ilimradi mdomo uende kinywani, katika pita pita zangu humu JF kwenye jukwaa fulani niliwahi kumuona dadaangu...
Salaam Wakuu, your the weapons against the kingdom of darkness.
Kuna jambo nimeligundua wanawake hawa awe pisi kali, kawaida au mapepe aisee wanaowafaidi ni wanaume wale wahuni wahuni tena wasio...
Na wanaoiweka katika hizi Bidhaa pendwa Siku wakiwaza tu kuiweka pia katika Utamu wa Kibaiolojia wa Mwanamke au Mwanaume hapa ndiyo nitakuwa Teja kabisa kwani Wengine huo Utamu Tukuka wa...
Self-depression
Never trust anything even if your heart can betray you
Yani kama ulizaliwa na binadamu basi ujue hautakuwa na umuhimu mpaka utakapokuwa na kitu fulani
Say bye kwa kitu...
karibu tufurahishane, na kushare visa mbalimbali ambavyo umewahi kukutana navyo ukiwa safarini.
kuna siku nilipanda basi(kilimanjaro exp) tanga (kabuku) ikitokea arusha to dar mida ya saa3 usiku...
Wakati tupo wadogo tuliambiwa tusipige Mruzi usiku, tusikae kwa muda mrefu kwenye mwanga ambao kivuli kikiwa exposed wala kuimba usiku.
Kisa wachawi wachukua.
Je, kuna ukweli wowote?⁉️
Wapendwa nahisi dunia imesimama, nina mawazo sana nahisi kila kitu kimesimama, nataka nije Arusha kupumzika....
Nipo jij la Chalamila
Niandae bajeti ya shingap
Nishakuja huko zamani sana...
Nadhani Jamiiforums ni moja ya mitandao yenye warembo na vijana wazuri saana.
Wengi wapo kwenye mahusiano tofauti na tunavyofikiria na yapo serious kabisa.
Na wengi wanamichepuko Yao humu humu...
Karibu Tanzania 😂😂
-Kila dawa ya meno tunaiita COLGATE
hatujali
😂 ndio tupo hivyo!!
-Kila sabuni tunaiita OMO
ndio tulivyo 😂😂
-kila kituo Cha mafuta, kinaitwa sheli😂😂
-Tunahodisha kwa mkono na...
Namshukuru sana Mungu kwa kunipa neema ya kuongeza mwaka mwingine. Nashukuru leo nimetimiza miaka kadhaa kwa kuingia floor mpya ya majukumu.
Mwaka huu umekuwa wa neema sana kwangu mwenyezi Mungu...
Hello buddies!
I wanted to share the above caption with for thoughts as we celebrate this lovely football sunday.
All the best for Yanga SC.
If Yanga gonna play bursting counter attacks with...
Habari wana jukwaa,
Leo nimeshuhudia jambo la ajabu katika mwendokasi. Nikiwa natoka Kkoo mida ya mchana mwendokasi imejaa kuna jamaa mbele yangu alikuwa kasimama nyuma ya bi dada mmoja aliyevaa...
Chakula kimepikwa kwa ajili ya Wazanaki (na hasa Sisi Wafiwa GENTAMYCINE nikiwemo) cha Kushangaza Makabila tajwa katika Kichwa changu cha Habari yenye Washamba wengi kila mkiletewa Chakula cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.