Joni alimtembelea galfrend wake aliyemwalika msosi wa jioni. Ghafla jioni ile bado akiwa kwa girlfriend wake mvua ilinyesha kubwa sana na haikupungua kwa muda mrefu. Wazazi wa binti walipoona...
Just a dedication(www.youtube.com/watch?v=e_iMJLksFhU&sns=tw) kwa wakuu wangu wote. JF is my comfort zone, sometimes when I am out of mood it only takes few minutes to take it back simply by...
Nyani alikuwa anapita karibu na kisima cha maji akamkuta simba kainama anakunywa maji. Nyani kwa uhuni wake akamnyatia simba akambaka, alipomaliza akamsukumia kisimani akakimbia, alijua simba...
Katika mahubiri
Pastor:Ningekuwa na uwezo ningechukua Guiness zote na kuzimwaga mtoni!!
Waumini:Ameen!
Pastor:Ningechukua Safari Lager zote na kuzimwaga mtoni!!
Waumini: Ameen!
Pastor:Ningechukua...
Za wiki end wana jamvi, najua mu wazima wa afya.
Leo Mwl. Christopher Mwakasege anaanza semina ya neno la Mungu hapa kwenye viwanja vya Jangwani. Itakuwa ni ya siku 8 mfululizo kuanzia leo...
Leo Tupo Hapa Pub tumetembelewa na mgeni kutoka Arusha LiverpoolFC ni shangwe kwa kwenda mbele tukimuonyesha mji kijana wa Arusha.
Madame B amepewa kazi maalum ya kuhakikisha...
Mambo vipi wapendwa baada ya kimya kingi nimerudi tena safari hii nimeibukua huku mji wa kitalaii Arusha, kwaherini wapendwa wangu wa Dar Es Salaam hasa baba yangu Mtambuzi tutaonana nikija...
Preta akiwa kaanza Maisha Huko Yaeda hapo pichani akiwa na wanawe akiwazoesha maisha ya Bush...
Nikiripoti kutoka Karatu....... mimi Ni Georgeeeeeeeeeee Maratooooooooooo waaaa Aiiiiiiiiiiiiiiiiii...
Duh nimeisoma barua hii kwenye gazeti moja jamaa anaomba ushauri, kaandika hivi;
Aunty Fatu, tafadhali nipe ushauri katika hili tatizo langu. Mi nadhani mke wangu si muaminifu, anafanya kazi...
wana jamvi wenzangu mi naomba tutengeneze hiki kitu ili Ituongoze na ipunguze migogoro majumbani...Naanza
1.Ndoa isiwe pingu za maisha bali iwe kwa awamu km vile uraisi na ubunge,namaani-sha kila...
Ndugu wanajamvi kwa mamlaka niliyopewa na niliyojiongezea mimi mwenyewe nachukua fursa hii kutangaza RASMI ndoa kati ya nitonye na bibie Arabela itakayofanyika siku ya keshokutwa jumamosi tarehe...
A Luo guy sent. KSh. 500 via mpesa on valentines day to His girlfriend ..The girlfriend gets so mad and calls him
Girl: swity serious! Mapenzi yetu ni 500? Kwanza valentines ? You so mean! I...
Wana Chitchat mpoo?
Kumezuka tabia moja ambayo mie sijaielewa elewa. Unakuta wanafunzi hasa wa shule za msingi kuzunguka mjini/mtaani na fomu ya kuchangisha michango kama ya mahafali ya shule...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.