Ushawakuta wale wajamaa wanaotumaga mesej huku wanaendesha magari? Basi hawa mbulula hawako huku tu, cheki video ya mbulula aliyesababisha ajali kutokana na Samsung Galaxy yake.
Utata ninao...
Lau kama isingekuwa, ugunduzi wa zana za kutumia kwenye kilambio, hakika siku hii ingebaki tu kuwa historia kama vile tumkumbukavyo Mfalme SOBHUZA, baba yake Mfalme Mswati wa kule Swaziland...
Hatimaye kile chama cha wenye MIKONO SWETA aka GOVINDER kimeipongeza kampuni moja simu (JINA KAPUNI) kwa kuwasaidia kutangaza kampeni ambayo ni against ile ya DONDOSHA MKONO SWETA,akiongea na...
Tufanye mbinu zipi ili tufanikiwe kukitoa chama cha MAGAMBA madarakani?
Nasema iv sababu naona kila sababu ya kushindwa inatunyemelea.
(1)tumetaka katiba ibadilike na rasimu ishatolewa lakin...
Alivaa rosary shingoni, msalaba wa rosary ukawa katikati ya mtindi.
Chekibobu aliyekaa jirani yake akawa anamwangalia mdada mtindi wake kwa muda mrefu.
Mdada akatambua chekibobu anamtizama kwa...
Hizi shule zetu za kyumba utacheka ufe, mwalimu kaandika ubaoni "KISS ME" watoto someni kwa nguvu wote "mwaaaaaaaaaaaa,............"
Ushauri wangu wa bure huko bungeni waruhusiwe kuingia na...
Tufanye mbinu zipi ili tufanikiwe kukitoa chama cha MAGAMBA madarakani? Nasema iv sababu naona kila sababu ya kushindwa inatunyemelea.
(1)tumetaka katibu ibadilike na rasimu ishatolewa lakin...
Transfer details:
Bishanga kahama barcelona kwenda real madrid
amu kahama toka arsenal ladies kwenda bayer munich frauen
Nivea kahama toka liverpool queens kwenda manchester united sisters...
Zuzu mmoja alienda kumtembelea rafiki yake ilipofika ucku mvua kubwa ikaanza kunyesha.
Mwenyeji: Duuh! Mvua ni kubwa sana,kama vip lala hapo sebuleni utaondoka asubuhi
Jamaa:Sawa.Baaada ya mvua...
Kuna Babu kakutwa Stend ya Basi analia sana,kila wakimuuliza babu unalilia nini hasemi anaendelea kulia tu,wasamalia
wema wakambeba hadi hospitali,Doctor akamuuliza babu unaumwa nini:Babu akajibu...
Jana kulikuwa na majambazi walikuja nyumba ya
jirani nikapiga 911, nlichosikia nlichoka kwanza:
Welcome to POLICE EMERGENCY CENTRE. For
English, Press 1, For Kiswahili Press 2. Nikabinya 1...
Hakuna nani wala nani wote CHOONI!, Uwe maskini au tajiri wote CHOONI!, Hakuna umashuhuri wala nini wote CHOONI!, Uwe Raisi au Mbunge wote CHOONI!, Uwe Sharo au Hardco wote CHOONI, Uwe maarufu...
Mtu na Mkewe wanagombana chumbani,ghafla ugomvi unakuwa mkubwa na mke anaamua kukusanya
vitu vyake kwa lengo la kuondoka,Mume anashangaa- anamuuliza,Unakusanya vitu unaenda wapi? Mke kwa nyodo...
Jamaa kafumaniwa na mke wa mtu, akapigwa lakini akaweza kuchomoka uchi mpaka kwake..
MKE; Hee.. kunani? mbona hivyo?
MUME; Majambazi mke wangu, wamenikamata, wameniibia kila kitu mpaka nguo na...
Babu kaenda kumtembeza mjukuu wake kwenye makaburi ya kijiji;
BABU: Unaona kaburi hili huyu jamaa alikuwa mtu, nilimkopesha fedha, akajitahidi sana kunilipa, kwa bahati mbaya alikufa huku namdai...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.