dirisha la usajili lafungwa ulaya,orodha kamili.....

Bishanga

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2008
Posts
15,321
Reaction score
10,140
Transfer details:
Bishanga kahama barcelona kwenda real madrid
amu kahama toka arsenal ladies kwenda bayer munich frauen
Nivea kahama toka liverpool queens kwenda manchester united sisters
Judgement from everton to chelsea.....kwa mkopo
nitonye from totenham h spurs to borussia dortmund
Erickb52 from toto afrika to ushirika moshi
Arushaone from AFC arusha to nyoka stars mererani
Nicas Mtei from machalii stars to mbokhomu rangers of marangu
Mganga wa jf rangers anaendelea kuwa Mzizi mkavu akisaidiwa na Nyani Ngabu.
 
Last edited by a moderator:
Ukilala na hangover za Rubisi+shisha... matokeo yake ndo haya...
 
Transfer details:
Bishanga kahama barcelona kwenda real madrid
amu kahama toka arsenal ladies kwenda bayer munich frauen
Nivea kahama toka liverpool queens kwenda manchester united sisters
Judgement from everton to chelsea.....kwa mkopo
nitonye from totenham h spurs to borussia dortmund
Erickb52 from toto afrika to ushirika moshi
Arushaone from AFC arusha to nyoka stars mererani
Nicas Mtei from machalii stars to mbokhomu rangers of marangu
Mganga wa jf rangers anaendelea kuwa Mzizi mkavu akisaidiwa na Nyani Ngabu.
hahahaahah Bishanga kuna kitu unantafuta siku moja tu ndio unataka unigande ka luba au uliacha alama ???unataka uifute heheheeheheheeh
 
Last edited by a moderator:
hahahaahah Bishanga kuna kitu unantafuta siku moja tu ndio unataka unigande ka luba au uliacha alama ???unataka uifute heheheeheheheeh

Ngoja nikupiem tutete kidogo.
 
Last edited by a moderator:
Ngoja nikupiem tutete kidogo.

Mushaija !
Una to late down ujue!
Nivea ana announce eti ulimmega mara 1 tu!
Huoni hiyo ni zarau?
Result yake ndo tunatangazwa Me wa kisasa goigoi ! Ina maana ile Mipweza unayoinunuaga hua umetumwa na watu au?
 
Last edited by a moderator:
Mushaija !
Una to late down ujue!
Nivea ana announce eti ulimmega mara 1 tu!
Huoni hiyo ni zarau?
Result yake ndo tunatangazwa Me wa kisasa goigoi ! Ina maana ile Mipweza unayoinunuaga hua umetumwa na watu au?
wewewewe umenielewa vibaya nilimtoa siku moja kumnunulia bia juzi ile anapiga makelele ameshindwa kuendesha gari mkewe akamchukue nilikuwa nae viwanja hajawahi nunuliwa bia namna ile anataka anigande!
acha kuwaza ngono kijana
 
Nimekusoma bibie! Sorry due for!
Bai ze wei , una maana Bishanga hana ujanja wa kukumega?
Au hua humegwagi ?
Please reply fluently , frankly , clearly , straitly!
 
Last edited by a moderator:
Nimekusoma bibie! Sorry due for!
Bai ze wei , una maana Bishanga hana ujanja wa kukumega?
Au hua humegwagi ?
Please reply fluently , frankly , clearly , straitly!
amezeeka sana huyo Bishanga atanifwia bwure
 
Last edited by a moderator:
amezeeka sana huyo Bishanga atanifwia bwure

Duuh !
Yaani mie navyoheshmiana na Bishanga , sis'subutu kumwambia hayo maneno!
Wee subiria aje akushukie hapa! Tena afazali aje hajajipakia rubisi! Akicha chiichaa utamtaka razi ! Shaul'lako.
 
Last edited by a moderator:
Kuna mtu kahama kahamia Kahama....

Kiongozi mie Kahama nilipavisit miaka imepita.
Hebu nikumbushe Jiografia yake.
Kuna kijiji kinaitwa KAGONGWA , kama unaelekea KAHAMA town tokea TINDE , KAGONGWA panakua mbele? Au KAGONGWA nyuma?
 
Na mhamo wa kuhama kahama umeleta dhahma Kahama Hapahamiki kumbe

Ankal !
Hii nimeimaindi! Umeitengeneza foo hau long?
Maubunifu ya kiivi wakiyaotea wasanii wa .com ndo utawaskia "mazee hii kazi nimesugua kichwa"
 
napita mie ngoja niwaachie dirisha lenu maana lanitisha mie
 
Back
Top Bottom