dirisha la usajili lafungwa ulaya,orodha kamili.....

dirisha la usajili lafungwa ulaya,orodha kamili.....

tuambie na wewe umehama toka gesti ipi kwenda gesti ipi??
 
Ankal !
Hii nimeimaindi! Umeitengeneza foo hau long?
Maubunifu ya kiivi wakiyaotea wasanii wa .com ndo utawaskia "mazee hii kazi nimesugua kichwa"

ndio shida ya vijana wa siku hizi........
 
Transfer details:
Bishanga kahama barcelona kwenda real madrid
amu kahama toka arsenal ladies kwenda bayer munich frauen
Nivea kahama toka liverpool queens kwenda manchester united sisters
Judgement from everton to chelsea.....kwa mkopo
nitonye from totenham h spurs to borussia dortmund
Erickb52 from toto afrika to ushirika moshi
Arushaone from AFC arusha to nyoka stars mererani
Nicas Mtei from machalii stars to mbokhomu rangers of marangu
Mganga wa jf rangers anaendelea kuwa Mzizi mkavu akisaidiwa na Nyani Ngabu.

hahahahahaha sasa mbona hata kujataja ada za uhamisho?
 
Huyo aliyekwenda nyoka fc ajiandae kufukiwa na kifusi
 
kweli kabisa Bishanga kafilisika.............
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom