jouneGwalu
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 2,696
- 1,807
nashukuru sana kwa kupewa cheo cha Captain
kwani huwaga nakitamani sana na nakipenda
si mchezo haya ngoja nibaki nisubirie na hiyo
timu sijui ni timu gani
Ila huo ukocha ungempa Arushaone maana
huyo uliyempa nadhani tutakorofisha pindi
timu yake ikishindwa.
Wewe team captain na mimi team manager (Coach)?? Haya kanyaga twende....! Team itany'akua vikombe vyoooote! Dadadeki.
Mi nataka ndio niwe mmiliki bhana...
Kuna mahali nawahi fasta, nitarudi.
wewewewe umenielewa vibaya nilimtoa siku moja kumnunulia bia juzi ile anapiga makelele ameshindwa kuendesha gari mkewe akamchukue nilikuwa nae viwanja hajawahi nunuliwa bia namna ile anataka anigande!
acha kuwaza ngono kijana
There are currently 39 users browsing this thread. (3 members and 36 guests)
Mmeshapata lunch wakuu au ni-facilitate?
Tumepiga dash...
Sasa nendeni restaurant iliyo karibu then waambieni wakupeni msosi ntajalipa. OK?
hahaahahah mwenyekiti wangu mstaafu usijali ,mimi kwenda itakuwa shida ntakupa yule mjita atakupeleka ,SOBIBO ukipanda tu pantoni kuelekea ng'mbo ya pili mbona panaonekana sana pembeni tu ya ule ukuta wa mwalimu nyerere utaona vijumba vyao vya ajabu ajabu .Unavyojua kuzuga... afu Nivea ntakutafuta unipeleke SOBIBO na Lebanoni... nina ishu kule ila nimekosa mwenyeji..
hahaahahah mwenyekiti wangu mstaafu usijali ,mimi kwenda itakuwa shida ntakupa yule mjita atakupeleka ,SOBIBO ukipanda tu pantoni kuelekea ng'mbo ya pili mbona panaonekana sana pembeni tu ya ule ukuta wa mwalimu nyerere utaona vijumba vyao vya ajabu ajabu .
nashukuru sana kwa kupewa cheo cha Captain
kwani huwaga nakitamani sana na nakipenda
si mchezo haya ngoja nibaki nisubirie na hiyo
timu sijui ni timu gani
Ila huo ukocha ungempa Arushaone maana
huyo uliyempa nadhani tutakorofisha pindi
timu yake ikishindwa.
Mi nataka ndio niwe mmiliki bhana...
Ukocha mbaya, hebu muone yule babu wa kizungu anavyokonda kila siku. Tena nasikia kuanzia twita imeanza, hawajawahi kuchukua kombe hata moja, kwa hiyo hamna shabiki yoyote aliye tweet TUMEBEBA KOMBE
There are currently 39 users browsing this thread. (3 members and 36 guests)
Mmeshapata lunch wakuu au ni-facilitate?
Tumepiga dash...