Naomba mnisaidie jinsi yakuludisha account yangu ya facebook (dactar wizzy) ambayo inashea email moja na namba yasiri moja No. yasimu moja .Hivyo yani ama nini
Naomba nikiri kwamba katika mbilinge zangu za
kuwania mabinti ujanani nilipata misukosuko
mingi sana kiasi kwamba kila nikikumbuka huwa
nacheka mwenyewe. Namuomba Mwenye Enzi
Mungu, wanangu...
Nivije Wazeiya wa Double C?
E bwana katika kuperuzi peruzi kwenye mitandao ya kijamii nimekuwa nikikutana na ilo neno mara kwa mara,mtu ana post au update status mwisho anamalizia na...
Mmasai mmoja alikodi chumba Guest House, na mara tu alipoingia kwenye chumba alichokodi ili alale, akakuta kitanda kimeshachomekwa chandarua. Kesho yake asubuhi Mhudumu akaja na kuingia chumbani...
A professor drove into a petrol
station in his sleek state of the
art range rover sports; PROFESSOR: Guy abeg, give me
full tank.
FUEL ATTENDANT: Sir, i dont
speak pidgin, i only speak...
MKE; anamuuliza mumewe,hivi una wanawake wangapi huko nje?
MUME; kama nywele zangu..
MKE; akachukua nguo zake akaondoka, alipofika njiani akakumbuka kuwa mumewe ana kipara, akaanza kurudi mbio...
Watu hawa always huwa wananifanya nifungue JF hata kama sicomment wala kupost kitu chochote;
snowhite - You are my partner you know
Kongosho - Kitu ya muzungu you always make me laugh
Lizzy -...
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!
Baada ya mihangaiko ya hapa na pale ambayo ilinifanya nikose kidogo mda wa kutembelea jamvi, hatimaye nimerudi tena nchi yangu nnayoipenda, ila kweli...
Padre mmoja alikuwa kila siku jioni akitoka kanisani anapita chini ya mti wa mpera na anaangalia juu kisha na kumshukuru Mungu kwa siku husika ilivyoenda.
siku moja kama kawaida yake akafika...
Jama kaenda kupiga interview kufika alikuta mtu yuko kwenye interview basi jamaa akaamua kuingia kwa furaha ile kuingia tu mazungumzo yakawa hivi
Boss:wait please
Jamaa:75 killogram
Boss:chali...
Mwalimu "Watoto wazuri kesho kila mtoto aje na hadithi ya kusimulia,na atawaambia watoto wenziwe kuwa inawafundisha nini"
Siku ya pili, haya tuanze hadithi zetu,haya rose pale,
Rose " siku moja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.