JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nianze na salamu kwa wale wapenda salamu na AMANI.... Ila NIWAtakie shari kwa wale wote wasiopenda amani katika kijiji chetu.Nirudi kwenye KALIPIO LANGU LA WAZI KWA BABA V Kwa utaratibu wake...
1 Reactions
37 Replies
3K Views
MWALIMU- "kwa nini tunasema MAPENZI ni bora kuliko VITA?" MWANAFUNZI- "Kwa sababu CONDOM ni bei rahisi kuliko BUNDUKI!!"
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za kwenu ndugu jamaa na marafiki Weekend hii nina mpango wa kusikiliza nyimbo za Kwaito zilizowahi kutamba sana na zinazoendelea kutamba wakati naendelea na shughuli nyingine za nyumbani...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
  • Closed
Husika na kichwa cha habari..! Kuanzia leo Erickb52 nitakuwa mwenyekiti wa mahusiano cheo ambacho nimekichukua kutoka kwa Mwenyekiti wa awali Baba V .Nimeamua kukichukua kwa kuwa mimi ndiye...
17 Reactions
212 Replies
10K Views
mwalimu wa somo la dini aliingia darasani nakuanza kuwauliza wanafunzi maswali mwalimu: mmoja aniambie ni nani aliemuua firauni? mw'nz 1: mwalimu mimi sie mw'nz 2: mwalimu mimi panya nashindwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hello everyone now I am going to share you the world best funny jokes site. In this site you can refresh yourself by reading short funny jokes. So if you want you can refresh yourself by click here.
0 Reactions
0 Replies
932 Views
Sijui twa elekea wapi nimeshuhudia kwa macho yangu viongozi wa vyama tofauti wakilushiana maneno machafu badala ya kupatana ili kuunganisha wafuasi wao kuheshimiana na kusaidiana jamani kheee! Kabda.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mtoto mmoja alikuwa akiokota embe kwenye shamba la miembe la Mzee-Kijana. Mara yule Mzee-Kijana naye ghafla akaja kuliangalia shamba lake na kumkuta yule Mtoto akiokota embe kwenye shamba lake...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kitendawili....huyu anamfanana mtu gani maarufu?
1 Reactions
2 Replies
2K Views
mtoto mmoja alikua anasoma shule tunazoziita international school,baada muhula kwisha mtoto alipewa ripoti y a kitaaluma awapelekee wazaz,kwa bahati nzur mzaz aliekuwepo nyumban alikua baba...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
"Baba! baba! baba!" mtoto anaita kwa nguvu kutoka bustanini. " Gari letu limeibiwa!" " ulifanikiwa kumwona aliyeiba?" " Hapana,ila nilifanikiwa kuandika namba ya gari".
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Tulikaa na wana wa harakati wenza , tukichambua haya na yale ktk mustqbali wa nchi yetu mambo yaendavyo. Ghafla tukajikuta tunajadili baadhi ya kauli , za viongozi wetu wa kitaifa , kimajimbo...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
0 Reactions
0 Replies
564 Views
Mimi naipenda :biggrin1: inaposemwa kwenye mazingira ambayo mtu amechangia kitu mbacho hakifai au kinachekesha so anamalizia kwa kucheka! Mfano mtu anaomba ushauri kule MMU -ndugu yake wa...
0 Reactions
4 Replies
856 Views
.............. ...........Haitimae Mamndenyi ajibu mapigo kwa kunitupia kwanza picha yake ili iwe pambo na pale napo mkosa tu iwe kumbu kumbu tosha kwangu. Angalia mwenyew hapo alikuwa katoka...
4 Reactions
137 Replies
7K Views
Mfungwa mmoja alitoroka jela baada ya kutumikia kifungo chake kwa miaka Ishirini na akiwa amevaa uniform,uso ulikuwa unatisha na alikuwa na ndevu nyingi. Baada ya kutembea kwa muda akakiona...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Niko shamba kuna baridi ni hatari. Sitaki hata kukutana na mastaa wa jf wa hapa huku ni baridi mno.
0 Reactions
17 Replies
1K Views
A young woman was jogging when she saw a wrinkled old man smiling at her from his stoep. " You look so happy," she called out to him. " What's your secret for a long and satisfying life?" "I...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
mm n mgen pande hz hvyo wadau naomba mnipoke
0 Reactions
1 Replies
887 Views
waungwana swalamaa...kwakweli dunia inaenda pabaya sana,huwezi kuamini nimepita mitaa ya ilala sharifu shamba,eti kuna chama kilicho sajiliwa kabisa wanajiita SISI kwa sisi,HAWAJAMA nima shoga i...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom