JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
........... People will believe anything when you say Scientists have discovered that. Wanasayansi wamegundua kwamba watu wanaamini kitu chochote iwapo utaanza kwa kusema wanasayansi wamegundua.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Toka uniage unaenda kwa safari ya kikazi,ni miezi imepita: Uko wapi nikufate Niambie nipajue Angalau nikuone Roho yangu itulie.. Nakukosa sana mwananthropolojia wangu..
2 Reactions
126 Replies
7K Views
Habarini wana jamvi nilikua safarini Comoro namshukuru mungu nmesafiri salama na nimeweza kurejea salama namshukuru mungu na wana jamvi wote kwa dua zenu nw nko Mafia ntarejea Dar kesho mungu...
0 Reactions
0 Replies
854 Views
MWALIMU: what is the family? MWANAFUNZI: Family is the medicated soap!!! MWALIMU: Safi sana, kitaeleweka tu...........
0 Reactions
8 Replies
1K Views
kwa wale downloader...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mambo vp chitchat User? leo napenda tujuzane kidogo kwanini sis binadamu tukifa huvishwa nguo maalu ijulikanayo kama SANDA? je kuna ulazima mtu kuzikiwa hyo ama vp kifupi mwenye historia ya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
ni katika gazeeeeeti la makorokochoooooo...tiiiilitili tili..nalifungua gezeti pyaaaaaa...mambo ya binadamu hayo..
0 Reactions
6 Replies
9K Views
avuaye samaki mvuvi,je avuaye chupi ni?
0 Reactions
12 Replies
3K Views
MTOTO: Baba kuna tofauti gani kati ya kilichopo katikati ya mapaja ya mama na ya kwako? BABA: Kwa mama yako kuna geti la kuingilia PARADISO na kwangu kuna ufunguo wa kufungulia hilo geti...
0 Reactions
15 Replies
7K Views
Wajameni kama mkiambiwa kila 1 i wishi kitu moja what will be wish yako????????????????????????/
0 Reactions
30 Replies
2K Views
Hello,mie ni mwananchi mpya jf naomba mnipokee kwa mikono zaidi ya miwili,mwanza ndio mkoa ninao patikana
0 Reactions
19 Replies
1K Views
0 Reactions
26 Replies
2K Views
https://www.youtube.com/watch?v=CiyZj_1z0Fg
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimekukumbuka my shemeji wangu yani nimelala mekuota umenimis mnoo nkaenda kwa maalimu nikisaidiwa na my ex Judgement kaka yako basi akatafasiri ndoto yangu akasema Naam ni ukweli shemejio...
3 Reactions
135 Replies
6K Views
While playing in the backyard little Jonnie kills a honey bee. His father sees this and screams "no honey for you for a month. Later on the day little Jonnie was pulling the wings off a...
0 Reactions
1 Replies
891 Views
Kwamba Konokono wote ni jamii ya "HERMAPHRODITES" Namaanisha kuwa wana own both gender , Male & Female . Is an organism that has reproductive organs , normally associated with both Male &...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
mtaalamu wa keki aliambiwa atengeneze keki ya harusi kisha aandike 1YOHANA 4:18, lakini akasahau kidogo akaandika YOHANA 4:18 badala ya kuandika 1YOHANA 4:18 inayosema "katika pendo hamna hofu...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
mama wakibongo alizaa na mchina, baada ya miaka miwili yule mtoto wao akafa. akiwa kwenye msiba huku akishindwa kujizuia kwa kulia yule mama alikua analalamika "mi nilijua tu vitu vya kichina...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
nimetumiwa message nzuri nyingi watoto wa kike ambao siwajui na wengine wakidai niwatumiae account namba ya benki ili wanitumie fedha,nilidhan mola kanikunia nazi ila kila mtu ananiambia niwe...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ukweli huyu mtu everlyn Salt jamani jamani anaufurahisha sana moyo wangu sio siri leo nimeamua kudeclare interest of my mind popote ulipo mama pls make my day mwaaa.
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Back
Top Bottom