MCHUNGAJI: Yeyote mwenye
pingamizi la haki kwa ndoa hii
asimame na aje mbele.
Mara kibabu kimoja kikasimama na
kwenda mbele...!
Bibi harusi alipomuona tu yule babu
akazimia...
MCHUNGAJI...
Salam wakuu,
A long friend of mine ambayo hatujaonana longtime amenitumia an email akinielezea swala linalomkabili nikaona nii foward hapa tuweze ona tutamsaidia vipi swahiba kwa ushauri maana...
Familia ya Erick,
P. o. Box 6501,
Sanawari
Arusha.
13.08.13
Yah. Kuachiwa huru Erickb52.
Kwako Chocs .
Familia ilikaa kikao kufuatia kadhia ya kupotea na kutosikika kijana wao...
Usitafute nauli, Mpoto lima ufuta.
Mjomba hana kauli, ameleweshwa limbwata.
Kwanza nauli ni ghali, na pili hutamkuta.
Mpoto nakushauri, nauliyo kodi trekta.
Anga za Malenga
Binti huyo mwenye umri wa miaka 14 alitekwa jana Asubuhi saa mbili alipokua anaenda kununua vitumbua kwa ajili ya kifungua kinywa. Hili ni tukio la pili la utekaji wa watoto wa kike huko maeneo ya...
KIBABU:Dokta nina tatizo sijui ni uzee au nini lakini kila mara najambajamba hovyo, ila uzuri wake ushuzi haunuki wala hautoi sauti
DOKTA: Eti ehhh
KIBABU: Hata hapa nimeshafutua mara tatu humu...
Shule tulizosoma kulikuwa na majina mbalimbali ya waalimu Ya Utani na pengine wengi wa waalimu hao walikuwa hawajui kama wanaitwa hivyo;
Mfano Shule ya msingi niliyosoma:
1. kipere
2. Chafu
3...
Jafoch Li xu huan zhen lee ping, huan jihan zhech feng lian zoung, ming hao yeng chan biao king kong shun...
Kwa hiyo ikawa ndo hivyo ndugu... inasikitisha sana...!
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
I am ashamed to be writing this piece but i just gotta write it!!!!!!!!!!!! It may not be amaong my intellectual pieces but its among my...
Naomba kukaribishwa nipo moro kikazi kwa siku tano kuanzia kesho so moro wing natumaini kampani yenu, kuanzia mitungu mawazo mpaka viduku msiwaze nyie kazi yenu ni kunionyesha njia tu......
mpenzi wangu kiwatengu ni siku nyingi zimepita sikuoni nyumbani umeaga waenda safari kikazi,
lakini hata message sipati simu sipigiwi tatizo nini mume wangu.nimevumilia sana sasa naona...
Ni ndugu(binamu) ambaye nimekua naye tangu utotoni mara nyingi likizo alikuwa akija nyumbani muda wote nilikuwa nashinda nae sasa tu watu wazima anakaa nyumban kuna chuo anasoma hapa karibu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.