wapendwa, habari za siku nyingi.
kwa sasa niko dar na katika kujiweka sawa na mambo ya mtandao nikanunua modem ya tigo ya kutumia kwenye laptop yangu. ila cha kwa kweli sijaifurahia huduma hii...
Huko kale tuliamini matambiko!
Then tukapata dini tukawa Waislamu & Wakristo .
Tulikua na chama kimoja tu, cha siasa!
Then tukapata multparty.
Elimu ya msingi tulikomea darasa la 4 !
Then...
JIRANI: Hoyaa Devi wakati uko faragha na
mkeo uwe unafunga mapazia, jana usiku
mtaa mzima tulikuwa tunakucheka
ulipokuwa na mkeo
DEVI: Hahahahahaha nyie ndio
mnachekesha, jana wala mie...
Jamani huyu muigizaji kipindi cha kila alhamis cha Ze Comedy ktk kipengele cha magumashi, ile sauti anayojilazimisha inakuwa sio burudani tena, bali ni karaha.Bahati mbaya jina simjui ni yule...
Husband and wife in bed together.
She feels his hand rubbing her shoulder.
She: "Oh, that feels good."
His hand moves to her breast.
She: "Gee, honey, that feels wonderful."
His hand moves to...
A Professor explained Marketing to MBA students
1. You see gorgeous girl in party,
you go to her & say I am rich marry me
That's Direct Marketing.
2. You attend party & your friend goes to a...
Wanajamvi huku kwetu kinacholiwa kinaitwa riziki..kisicholiwa tunaita si riziki... je wewe mwenzangu unaliwa ( riziki) au hauliki ( si riziki) .......?
WADAU KATI YA HAWA YUPI ANAJUA KUUCHUNA?
Juha, Zoba na Zuzu walikuwa wakibishana nani anaweza kuuchuna kuliko mwenzake, ilikuwa hivi;
JUHA: Nilimpigia simu mke wangu akasema halooo! Mie nikauchuna...
Journalist: Mr President don't you think 89 years old would have been a great time to rest and retire?
Mugabe:Have you ever asked Queen Elizabeth this Question or it is just for African leaders?
Baada ya kufanya utafiti wangu nimegundua kuwa hapa Bongo huitaji mpaka kuwa na gari ili kuwapata baadhi ya wasichana, wengine hata ukiwa na funguo tu umeng'oa mtoto..!
Wengi wataona ni swali la kipuuzi lakini tukiwa wakweli toka rohoni wengi wetu leo wamelala Sehemu ambazo sizo kabisa
Kuna waliolala
1: na mahouse girl
2:nyumba ndogo lakini wamesingizia wako...
Aiseee nimewamiss jamani.
Kipenzi changu Konnie Kongosho na wifi yangu King'asti embu nipeni michongo, tajiri la kihaya Bishanga bado vipesa vipo vipo au ashafilisiwa na kina The secretary...
*TAIFA ambalo Mabinti zake wakimuona Mzungu wanadhan ana Hela
*TAIFA ambalo ukiongea Kingereza unaonekana Msomi.
*TAIFA ambalo ukiwa na Simu nzuri we ni Mjanja hata kama haina Vocha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.