Nimeamua kuonesha hisia zangu kwa everlyn salt liwalo na liwe

Nimeamua kuonesha hisia zangu kwa everlyn salt liwalo na liwe

chief_mtemi

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2013
Posts
529
Reaction score
121
Ukweli huyu mtu everlyn Salt jamani jamani anaufurahisha sana moyo wangu sio siri leo nimeamua kudeclare interest of my mind popote ulipo mama pls make my day mwaaa.
 
Last edited by a moderator:
"Msaada" Nauliza duka ninapoweza kupata tindikali nipeni na bei yake,nahitaji ujazo wa lita 20.
 
"Msaada" Nauliza duka ninapoweza kupata tindikali nipeni na bei yake,nahitaji ujazo wa lita 20.

My shem naona dogo kaichoka sura yake... Kuna muhindi mmoja jiran yangu hapa huwa anauza.

Hebu kuna kwa Prime Minister nkupe muelekeo......
 
"Msaada" Nauliza duka ninapoweza kupata tindikali nipeni na bei yake,nahitaji ujazo wa lita 20.

kwi kwi kwi kwi Slave mm siogopi tindikali yani ndo nimerudi toka kwa babu kunywa dawa anti tindikali pia kanipa dawa ya kukufanya usimudu mambo ili tu kukumaliza kimchezo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom