chief_mtemi
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 529
- 121
asante Mamndenyi japo ushindani mkubwa yani hapa nguvu za ziada za kichifu zinaitajika
chief_mtemi jionee huruma nami nitakuhurumia.kwi kwi kwi kwi Slave mm siogopi tindikali yani ndo nimerudi toka kwa babu kunywa dawa anti tindikali pia kanipa dawa ya kukufanya usimudu mambo ili tu kukumaliza kimchezo
nakucheki tu Mamndenyi..... we mdanganye tu.goooo......... chief_mtemi goooooo :tape:
nakucheki tu Mamndenyi..... we mdanganye tu.
nimerudi wangu ila hiyo nauli unaweza kunipa tu ili nizibe pengoOyaa...... Bado hujageuza!? Au umekosa nauli ya kurudia?
Huyo mtu uliyemtaja hatunaye humu ndani labda umekosea njia...
wewe hata usiendelee yusha jua unae mtafuta si Evelyn Salt ila ni everlyn salt